Hivi huyu RPC wa Dodoma ana undugu na Kova?

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,792
15,693
Ukiangalia sura yake wanafanana, ila si sura tu hadi tabia za kupenda 'kioo', yaani yeye kila tukio anaita waandishi wa habari, halafu mtuhumiwa anamshika kwenye mabega sijui ana maana gani, naona hata Rais japo anapenda watu sampuli hii ila nayeye hapendezwi sana na mambo yake ndio maana leo kamchana ile ishu ya kwenda kukata bangi.

everything you say will be used against you in court. Big up kwa mvuta bangi aliyeenda kumkomboa mkewe. Ila bangi ingehalalishwa tu. inatupotezea muda.
 
Ukiangalia sura yake wanafanana, ila si sura tu hadi tabia za kupenda 'kioo', yaani yeye kila tukio anaita waandishi wa habari, halafu mtuhumiwa anamshika kwenye mabega sijui ana maana gani, naona hata Rais japo anapenda watu sampuli hii ila nayeye hapendezwi sana na mambo yake ndio maana leo kamchana ile ishu ya kwenda kukata bangi.

Hahahahaaa yaani kabisa sijataka hata kusoma maelezo title inatosha.
 
Muone mwenye alivyo; Anasura nzito ka wimbi la uji wa mtama sasa:

afu aja jijuaga tu; yaani akiwa anaongea anatoa msauti wa aajbu ajabu ivi unao ambatana na mvua za mdomoni za hapa napale kama lango la ahera lina funguliwa.

Utafikiri alinusurika vita ya kwanza ya dunia

Jamani huyo mie mtani wetu msichukulie sereous saaaaaana
Kalete vyeti vya kuzaliwa vya babu na bibi yako
 
Muone mwenye alivyo; Anasura nzito ka wimbi la uji wa mtama sasa:

afu aja jijuaga tu; yaani akiwa anaongea anatoa msauti wa aajbu ajabu ivi unao ambatana na mvua za mdomoni za hapa napale kama lango la ahera lina funguliwa.

Utafikiri alinusurika vita ya kwanza ya dunia

Jamani huyo mie mtani wetu msichukulie sereous saaaaaana
 
Hahahaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaàaaaaa Umenikumbusha kova wa misifa
 
Back
Top Bottom