fenisher
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 339
- 735
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kua salama na mweny afya. Pia nitakua nisiye na shukrani kam sitotoa shukrani zangu kwa jamiiforum na hii ni kutokana na mchango mkubwa ninaopata kupitia humu.
Nimejifunza vitu vingi kupitia jamii forum na nilikua natumia kama mgeni kuperuzi jamiiF kwa muda mrefu na hadi nilipoamua kua member kamili na kupost thread lakini baada ya thread kadhaa niligundua bado sjapata elimu kamili kuhusu jamiiF na niliacha kupost thread kubakia msomaji tu, wanasema elimu hutafutwa na utaipata ukiwa tayari kifikra, siku zote nilikua naon umuhimu wa jamiiF kama chanzo muhimu cha elimu na si umbea wala kutafuta sifa zisizo na maana. Kwa mf. Nilikua natamani niwe kam the bold, bak au pascal mayala. Lakini niliweza kujifunza kupitia humuhum kuwa natakiwa niwe mimi na si bak wala mzee mwanakijiji.
Nirudi kwenye kichw cha habari (saikolojia). Siku kadhaa nyuma nilikua na msongo wa mawazo uliopitiliza yani si kawaida, sikuwahi kuwa na mawazo ya kupitiliza kiasi kile na nilitafuta njia za kupunguza mawazo hayo nilikosa kwa mf. Nilijaribu kuwa na mpenzi wangu karibu kwa muda mrefu lakini haikusaidia, pia nilijaribu kukaa na watu ninaowapenda lakini niliendelea kuwa hali ileile na kutokana mi si mtumiaj wa kilevi chochote hvo nilikua nikifikiria labd pombe ingeweza kunisaidia lakini nafsi ilkua ikiniambia hiyo sio solution. Sasa siku moja nikiwa na simu angu niliamua ku google njia za kupoteza msongo wa mawazo yaliopitiliza na kukutana na majibu mengi lakini ni jibu pekee lililonisaidia ( SAIKOLOJIA ) . Kutokana na lugha kiingereza ya misamiati migumu nikajiuliza ni wap nitapata kwa lugha yetu na jibu likaja jamiiforum. Nilipitia mada nyingi zinahusu saikolojia na ghafla nilipata jibu na nikawa huru kutoka katika dimbwi la mawazo. Nilikua katika matatiz ya migogoro ya nafsi yani nilikua nikipigana na nafsi angu na hili ni tatizo kubwa san katik jamii zetu katik karne hii. Watu wengi wana matatizo yanahusiana na saikolojia lakini hawaelewi kwa mf. Watu wanaogundua wanaishi na vvu huwa na tatizo hili.
My take.
Kwanza tupende kusoma (kujifunza) na sio lazim humu jamiiF yan penda kusoma vitabu na pia kitu kikubwa ni kusoma vitu vinavyohusu saikokojia, najua wengi watashindwa kugharamia kuonana na daktar wa saikolojia bhasi penda kusoma vitabu. Watu wengi wana matatizo ya saikolojia na hii ni kutokana kutokukubali na kile kinachawatokea yani kupingana nafsi zao. Accept the reality then move on.