chumanil
Senior Member
- Jan 20, 2018
- 121
- 73
Habari wana jamvi,
Kuna kasumba kubwa katika usafiri wetu huu wa daladala abiria wamejenga tabia ya kuwachukia konda na mwezie dereva.
Imekua kawaida sana kwa watu hawa kusemwa vibaya na baadhi ya abiria, sijui hii ni kwanini imetokea hivyo.
Utakuta konda anatoa maelekezo", dada au kaka, sogea nyuma". Basi jibu litakalo toka hapo, utastaajabu kabisa.
Inashangaza, kwanini hatutoi ushirikiano, ikiwa sisi ndo tunahitaji mkubwa sana wa usafiri? Kwanini, hatueshimu kazi yao?
Pia kondakta, dereva ni wa watu kutoka miongoni mwetu, wengine "shemeji zetu, baba zenu wadogo. Iweje tusiheshimiane na kuheshimu kazi zao?
Mbona wanapokua na mgomo tunalalamika kwa kuchelewa makazini? Au shida kutoa 400/=yako ndo inayokupa kiburi?
NAMALIZIA KWA KUSEMA, ACHA TABIA YA HOVYO YA KUTOWAHESHIMU KONDAKTA NA DEREVA. Heshimu kazi.