Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Sijawahi kuona watu wanaojifanya wanamjua sana Mungu kama Wabongo, hadi wanampangia cha kufanya, hivi ni kwa nini? Hivi Mungu yuko kwa ajili yenu tu? Au ndo ulimbukeni kwa maana Mungu mwenyewe mmejua juzi tu?
Kuna watu Mungu wameanza kumsikia kwa zaidi ya miaka 2000 lkn wako kimya ninyi miaka 100 tu inakuwa tabu, kwa nini mnakuwa malimbukeni hivi?
Kuna watu Mungu wameanza kumsikia kwa zaidi ya miaka 2000 lkn wako kimya ninyi miaka 100 tu inakuwa tabu, kwa nini mnakuwa malimbukeni hivi?