Wapuuzi hawawezi kumpangia mtu maisha kwa ajili ya misimamo yao ya kipuuzi huo Ujinga watawala wa Kenya waupige marufuku
Mbona huko mmepangiwa maduka msifungue kabla ya saa 4 asubuhi jumamosi na hamfungui
Wapi
Tanzania ina vituko vingi sana kuliko hivyo vya garisa
Na tena wakakatazwa kuchangia damu na wakafuata?Mbona huko mmepangiwa maduka msifungue kabla ya saa 4 asubuhi jumamosi na hamfungui
Mbona mlikatazwa kumuombea Tundu na mkafyata
Kwa hiyo usiingilie ya watu we unaweza kushangaa ya kwao kumbe we una ya ajabu zaidi
hahaaaaaa umemjibu vyema sanaMbona huko mmepangiwa maduka msifungue kabla ya saa 4 asubuhi jumamosi na hamfungui
Mbona mlikatazwa kumuombea Tundu na mkafyata
Kwa hiyo usiingilie ya watu we unaweza kushangaa ya kwao kumbe we una ya ajabu zaidi
umefyataWapi