Kuna mtu yuko single sasa hivi. Kuna mtu ameolewa na kusubiri miaka 10 kabla ya kupata mtoto..wakati kuna mtu amepata mtoto ndani ya mwaka wa kwanza wa ndoa
Au, kuna mtu amemaliza degree akiwa na...
Nilikuwa napenda sana michango ya kibwana Dachi wa Magic Fm kwa sababu ya kuwa objective lakini sasa inaelekea uchambuzi wake unaanza kuegemea upande mmoja na labda ataweza kuwa Msemaji wa...
Nyumba 12 zilizopo kando ya Mto Msimbazi,Mtaa Majengo Eneo la Vingunguti jijini Dsm zimesombwa na Maji na huku nyingine zaidi ya 100 ziko hatarini kuanguka kutokana na Mmomonyoko wa Udongo...
Matokeo ya matendo yako utayapata uzeeni
Mtume Mohammad (s.aw)alisema umri wa kuishi binadamu no miaka 60 ukizidi hapo jua unatumia ziada tu....
Jamani hakuna kitu kibaya na hakikwepeki kama...
Wajameni nchi hii ina makamanda wa polisi wa mikoa wasiopungua 30 lakini kwa siku za hivi karibuni imekuwa ni mazoea kwa huyu RPC wa Dodoma kila siku kumuona akiripoti kwenye vyombo vya habari...
Chama cha Wafanyakazi Wa Serikali za Mitaa (TALGWU), kimewataka Wakurugenzi nchini kufanya kazi kwa kufuata misingi ya sheria na haki za watumishi Wa umma.
Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne Aprili...
Mtangazaji wa Clouds media ndugu Hassan Ngoma amesema baba yake ambaye ndiye mgunduzi wa Tanzanite bado anahangaikia haki yake ya kuweza kutambuliwa rasmi na Serikali na kufaidika na ugunduzi huo...
Tundu Lissu anaweza kuwa Mwafrika wa kwanza kusalimika baada ya kupigwa risasi nyingi zaidi. Alirushiwa risasi 38, risasi 16/17 zikampata.
Nimejaribu kutafuta taarifa, inawezekana ni moja kati...
Leo nimejifunza kitu kikubwa katika kuhusanisha dini na siasa kupitia maaskofu wa Kanisa Katoliki. Askofu Ruwaichi katika mahubiri yake kuanzia mwanzo hadi mwisho hakuzungumza hata sentensi moja...
Dodoma, imeripotiwa kuwa na namba kubwa ya wagonjwa wa kipindupindu kwa kipindi cha miezi mitatu toka mwaka uanze, ikiongoza mikoa yote.
Ripoti hiyo ilitolewa na waziri wa Afya, Maendeleo ya...
Aliye karibu na RC Makonda anisaidie kumwambia kwamba tumeshajiandaa ' Kuumbuliwa ' na tunamngojea Yeye tu sasa awaite hao ' Wanawake ' ili akina GENTAMYCINE ' tuumbuliwe ' kisha tumalizane na...
Na Josephat K. Nyambeya
Muda mfupi uliopita nilikuwa napitia makabrasha ya maandishi ya watu wengine vitabuni na mtandaoni nikakumbana na andiko moja lililonivutia sana. Andiko hili linahusu aina...
Habari wadau wa JF,
Nadhani nyote mnajua kuwa vijana ndio wanatengeneza asilimia kubwa ya raia wa taifa hili na kutokana na kwamba Serikali inaona jukumu la kutoa ajira ni kama haliwahusu...
Hivi ni nani muasisi,mvumbuzi,mrataibu wa kile nachokiita upuuzi wa kumwagiana maji kwenye sherehe za kuzaliwa wenye lugha yenu adhimu mnaitwa BIRTHDAY?
Maana desturi hii ya kibwege sijawahi...
Basi la Kampuni ya Maqadir lililokuwa linatoka jijini Tanga kwenda Kijiji cha Mtae, Wilaya ya Lushoto mkoani humo, limeanguka asubuhi leo Aprili 10, 2018 katikati ya barabara kuu ya Segera-Tanga...
Habari ya jumapili na usiku mnene,
Nimepitia uzi flani humu iko kwa lugha ya kiswahili sasa baadhi ya wachangiaji wakaanza kumuuliza maswali mtoa mada na baadhi ya maswali yakaonekana kumkera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.