Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,991
wakuu.
zebra bar ni miongoni mwa bar kongwe maeneo ya mtoni kwa azizi ally/dossa azizi.
bar ni ya zamani sana lakini imebaki na uzamani tu.haibadiliki. huduma duni na za kizamani sana. mpaka leo bar kongwe kama hii haina Dstv na hata Azam tv haina sauti nk. sasa habari tutaangaliaje na hii ligi ya bongo je? kizamani badilikeni.
muziki: pale kuna juck box , ni vurugu na fujo mnoo! utakuta mtu anachagua mwimbo lakini sauti ya juu mpaka mwisho! mnasumbua wasiohusika na muziki badilikeni
madada powa ; hapa kuna wadada wanakunywa pombe muda wote lakini ukienda chooni wanakufuata na kuomba pombe. sio sawa hata kidogo. kila mtu anakunywa kwa bajeti jamani.wapo hata vijana ukimsalimia nao tu leo kesho wanakuomba bia. jamani si lazima.kunuliana.
huduma ya chakula: mbovu, wahudumu wachafu hawavai epron kichwani na wanachezea cmu muda wote. wanauza chakula kimepoa, hawasemi .zi