Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanza kabisa niseme mimi sio mwanasaikolojia, wala sijawahi somea saikolojia hivyo basi nitachoandika hapa ni mawazo na mtizamo wangu binafsi nilioupata kutokana na (experience) mbalimbali...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaendelea katika wilaya zote mkoani Tabora. Akizungumza afisa Usajili wa Mkoa wa Tabora Bi Grace Msacky amesema kuwa anawapongeza wananchi kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ifikie mahali uwendawazimu tuuite uwendawazimu. Kwanza, ni uwendawazimu kwa mamlaka za serikali kuwataka wale tu ambao wanakwaruzana na serikali au viongozi wa serikali kwa namna moja au nyingine...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Wandugu, Baada ya makala yangu ya jana kuhusu uraia kwa watu wa mipakani kama Kyela, naona napata maswali mengi kutoka kwa vijana kuomba ufafanuzi. Niliwahi kuandika makala kama hii mwaka 2012...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari zenu! Juzi juzi nilimsikiliza mfanyakazi mmoja, sikumbuki wadhifa wake, ila ni mtu wa juu kidogo. Alisema mfumo huu wanaoanza kuutumia leo ni kwa ajili ya kuboresha mfumo uliopita na pia...
6 Reactions
184 Replies
21K Views
Ni habari ya kushtua kufurahisha na kuhuzunisha pia... Mvumbuzi mgunduzi wa madini adhimu yanayopatikana Tanzania pekee kwenye dunia nzima... Hatimaye jana kakumbukwa na kupewa 'ZAWADI' ya...
7 Reactions
54 Replies
6K Views
Wakuu naona kuna wingu kubwa sana na radi zinapiga maeneo mbalimbali hapa dar kuna kila dalili ya mvua kubwa kunyesha naomba tupeane updates kupitia uzi huu
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Mrisho Gambo mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za hapa Jukwaani. Shule ya Msingi Kavazungu iliyo Wilaya ya Mwanga Kilimanjaro ina waalimu watatu.... Hii shule ina darasa la kwanza hadi la 7 Waalimu walikuwa 8..... Kuanzia mwaka 2015...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Gari lililokuwa kwenye msafara wa Mwenge wa Uhuru katika Manispaa ya Bukoba limeacha njia karibu na msitu wa Kyamunene kufuatia mvua kubwa iliyoanza kunyesha leo alfajiri. Hakuna madhara...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Jana nimepata passport yangu. Imenichukua miezi miwili tangu niwasilishe maombi mpaka kuipata. Wengi walikuwa wanasema inachukua hadi miezi sita. Niliomba tarehe 24/11/2017 nikapewa ahadi ya...
8 Reactions
78 Replies
8K Views
Kiasili (nakubali kukosolewa), mwanadamu ameumbwa na mihimili: 1. Uvivu; 2. uchoyo na; 3. Ukatili. Pamoja na kuumbwa hivyo, bado mhimili wa tatu una mizizi mirefu na ndio huhinikiza na kuonesha...
1 Reactions
0 Replies
718 Views
Wasaalam wanabodi, Moja kwa moja kwenye mada: Nilipokuwa ADVANCE MALANGALI SEKONDARY (Mafinga Iringa) nilipata kusoma vitabu tofaut tofauti vya historia, baadh vikizungumzia sifa za majeshi...
25 Reactions
94 Replies
59K Views
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA NI NDOTO MFANYAKAZI WA BONGO Nawasalimu wote mnaoanza kusoma ujumbe huu. Salamu za kipekee zimfikie rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli kwa juhudi zake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Kasheku maarufu Musukuma (CCM), ameitaka serikali irudishe kazini watumishi wa darasa la saba iliowafukuza vinginevyo wabunge wenye elimu ya darasa la saba pia...
1 Reactions
71 Replies
16K Views
Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zacharia Kakobe amesema yeye siyo unyasi unaotikiswa na upepo. Amesema hata kama yeye na kanisa lake watapitishwa kwenye magumu, atashinda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ningependa kujua ni nchi gani au Shirika gani la Kimataifa limetununulia gari hii DFPA 3897, kwa maana Mhe. Rais hajatoa shukrani kwa msaada huu! Wananchi Mirerani wana haki ya kujua nani...
11 Reactions
129 Replies
15K Views
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni jijini Dar es salaam, Hashim Mgandilwa amewaweka chini ya ulinzi maafisa wawili wa juu wa Kampuni ya mafuta ya LAKE OIL kwa kukiuka masharti ya uwekezaji katika eneo...
3 Reactions
63 Replies
13K Views
wadau, Gari ya Polisi aina ya land cruiser pt. limezama baharini baada ya kufail breki kwenye mstari pale Pwani bandarini Mafia. Dereva wa gari yu mahututi hospitali ya wilaya. vyombo vya...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Kadri siku zinavyozidi kuyoyoma kufikia mwisho wa dunia, ndivyo mambo ambayo yalikuwa siyo ya kawaida kutokea ama kuyaona yanavyozidi kutamalaki hapa Ulimwenguni. Kitendo cha mnyama anayekulikana...
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Back
Top Bottom