alvinroley
Member
- Sep 30, 2016
- 71
- 251
Msaada kwa wanaofahamu na wale waliokwisha kwenda. Ni taratibu zipi unapaswa kuzifuata unapotaka kwenda Vatcan City (Rome - Italy) kufanya utalii. Tukianzia hapa nyumbani, kuna agents wanaosaidia taratibu za kwenda huko kama walivyo maagent waliopo hapa Dar wa safari za kwenda kufanya utalii Jerusalem? Je utatakiwa kufanya taratibu za vibali (barua za utambulisho) katika kanisa Katoliki hapa nchini ili uende Vatcan? Jamani naombeni msaada kwa wanaofahamu.