Kumbe ata mimi ni mkimbizi chini mwangu?

Kumbe ata mimi ni mkimbizi chini mwangu?

FrancisDA

Member
Joined
Mar 22, 2018
Posts
32
Reaction score
24
Nimekaa nikiwaza sana jinsi hali ilivyo nchini
Kwani pindi nasona shule ya msingi zamani kidogo hapo awali kabla ya Matokeo makubwa na baada ya Matokeo makubwa na hata baada ya kupotea kwa Matokeo makubwa Nchi yangu Tanzania ilikua katika sifa kuu Moja tu "The Island of peace" (Kisiwa Cha Amani) huenda nikutokana na Elimu yangu ndogo ya Shule ya msingi sikujua hili.
Nilitambua kua Nchi yangu ina elea katika bahari kubwa tukiwa peke yetu huko watu walikua wakiogopa kufika huko kwakua kuna maji mengi hivyo tukaishi kwa amani tukaitwa Kisiwa cha amani kilicho bebwa na jina Tanzania lakini sivyo kumbe ilikua nchi iliokuwa ikizungukwa na nchi nyingi za jirani na Amani ile iliokuwa ikihubiliwa huenda na viongozi wa Taifa wazawa na hata nchi jirani ilikua ni ushujaa na weredi wa waasisi wa Taifa hili Tanzania Yaani J.K.Nyerere na Sheikh A.A.Karume kwani walipenda kuona watanzania wanapenda nchi yao nawao wakiwapenda watu wao hii ndio labda pia ilifanya ikaitwa Kisiwa cha Amani licha ya wakati huo kuwapo kwa mfumo wa chama kimoja tofauti na sasa tumeona tuna vyama vingi.

Nilejee katika wakati wa sasa wa vyama vingi na utawala wa kidemokrasia tunaitangaza vipi amani yetu sizani kama mtu awaye yeyote ata sema kuna amani japo mimi naiona ipo kubwa sana na ipo hivi kutokana na mivurugano ya kisiasa baina ya vyama pinzani na chama tawala ipo dhahili kuwa kunakufifia kwa amani nchini lakini ipo hai nainatulinda amani hiyo katika uhalisia wake .
Sitoshangaa sikumoja nami nikawa mtu watangatanga huku nahuku kuitafta amani ya nchi yangu ingali ipo chini ya watu wachache wanaohitaji kujinufaisha wao na familia zao na kusahau kuwa kuna watu waliowafanya waowawepo hapo walipo ilikuwatetea wao na maisha yao na taifa zima kiujumla kwaajili ya kuilinda amani hii hali hii inadhihilisha hali ya amani kati ya mtu mmoja mmoja na mwingine au watu wengi na wachache nilikua sijatambua "kumbe na mimi ni mkimbizi nchini mwangu" kumbe naikimbiza amani kila kukicha nayenyewe haina hamu na mimi inafurahia kuona naikimbiza.
Inatafta wapi itakaa na kutulia bila kupata bugudha na usumbufu zaidi
IMG_20171217_181234.jpg
 
Back
Top Bottom