Wingu kubwa na radi maeneo mbalimbali Dar, tupeane updates za mvua

Hapa nilipo dalili za mvua zipo lakini sidhani itakuwa kubwa kiasi hicho.
 
Tupeane updates zipi sasa? Kama ni mvua kila siku inanyesha, kama ni radi, ni kitu cha kawaida. Sasa updates zipi au unataka kuhesabu radi imepiga mara ngapi?
 
Updates kwa maana ya maafa mbalimbali mkuu
 
Back
Top Bottom