Huyu ni mzee aliyegundua na kuokoa kuteketea kwa makaa ya mawe mgodi wa Ngaka uliopo wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma mwaka 2006,anaomba atambuliwe na Serikali.
Benedict Mapunda (Rasha) mwenye...
Wanaharakati nchini wametofautiana juu ya utaratibu wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwasikiliza na kuwapa ushauri wa kisheria wanawake wenye watoto ‘waliotelekezwa’ na...
Hawa jamaa waliandikwa sana kwenye vyombo vya habari bahati mbaya sikio la kufa....
Kimsingi ukiwa na tatizo la emergency au linginelo wanakupa reference number. Hapo utapewa maneno ya faraja...
Huwa najiuliza hivi nikweli wanasayansi wote duniani wameshindwa kabisa kugundua kipimo cha Tezi dume au tunafanyiana makusudi? Nadhani hii siyo fair kabisa, fanyeni mpate njia mbadala na ya...
Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi amevitaka vyombo vya dola kufanya kazi kwa kuheshimiana katika kesi inayomkabili Harbinder Seth na James Rugemalira, akihoji sababu za Seth kutopelekwa katika...
Arusha.
Wanafunzi wawili wakazi wa Olkeryan jijini Arusha wamefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye shimo lililokuwa likitumika kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya mchepuko inayotoka Ngaramtoni...
Mkazi wa Wilaya ya Kinondoni Dar, Rukia Mohamed akipanda gari la polisi jana baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la usafirishaji wa dawa za kulevya gramu 1,471.15 wakati alipokamatwa...
Graduates wa kitanzania tujifunze. Ada ya masters tunazolipa kila mwaka Mzumbe na UDSM bora tujengee tu.
Dunia ya kibepari inataka kazi, haitaki vyeti labda Serikalini tu.
Kuwa Mkurugenzi...
Habari Wakuu wa Jukwaa Hili.
Tumshukuru Mungu kwakuwa bado tuna uhai mpaka muda huu.
Kuna hili swala linalosemwa sana kupungua kwa Ukwasi mtaani, huwa maranyingi swala hili likiongelewa watu...
Kutoka bungeni dodoma, nimeckia mbunge mmoja akisema tena kwa kujihami akidhani anaongea kitu cha maana
Eti saloon ni kiwanda kwahyo kipewe support kubwa.
Hivi saloon inatoa huduma au bidhaa...
Kwa utafti nilioufanya binafsi nimegundua Watanzania wengi wanapenda sana habari za umbea na udaku kuliko hbr zenye manufaa ya kulijenga taifa na jamii kwa ujumla. Mfano viongozi hufanya mambo ya...
Kutokana na sakata la leseni kuwaandama wafanya biashara wa ng'ombe , machichio yote ya DSM wamekatazwa kuchinja ng'ombe kwa sababu wachinjaji hawana leseni.
Nipo pugu mnadani hapa, hakuna...
Taasisi ya Dr. Sebi iliyoko ya Marekani kwa kushirikiana na Taasisi ya Life relief Foundation, wanakuletea Semina elekezi kwa wagonjwa wenye Kisukari, Pressure na ambao wapo katika habari ya...
Hakuna ' Kitu ' kibaya duniani na pia cha ' Kipumbavu ' pale ambapo unakuta umepanda katika Lori halafu Dereva na Kondakta wake wanafanya mambo ya hovyo hovyo / kipumbavu kiasi kwamba muda wowote...
AFISA MIKOPO NA UONGOZI WA IFM WAWATESA WANAFUNZI KWA KUTOWAPATIA HELA ZAO ZAKUJIKIMU ZA WANAFUNZI NA KUWATESA WANAFUNZI
Inasikitisha sana kwa wanafunzi wa IFM tangu chuo kimefunguliwa wanafunzi...
Juzi hapa ajali ilitokea kati ya lori la Fuso na basi la City Boys katika harakati za dereva wa Fuso kukwepa shimo barabarani na kuingia upande wa basi na kusababisha wagongane uso wa uso, na watu...
Wana JF.
Kwanza kabisa mods usifute uzi huu wabunge wapate shule juu ya technologia ya milipuko ambayo inasababishwa na mawasiliano waliyoyabeba.
Mimi nimefanya kazi nyingi katika sekta hii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.