Passport: Hali si mbaya kama watu wasemavyo?

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
59,549
Reaction score
135,748
Jana nimepata passport yangu. Imenichukua miezi miwili tangu niwasilishe maombi mpaka kuipata. Wengi walikuwa wanasema inachukua hadi miezi sita.

Niliomba tarehe 24/11/2017 nikapewa ahadi ya kuchukua tarehe 22/12/2017.

Nilikwenda kuulizia siku chache baada ya hio tarehe nikaambiwa bado. Cha kukatisha tamaa pale niliwakuta watu waliodai waliomba mwezi May!

Baada ya kusikia hivyo nikasema sitarudi kuulizia hadi mwezi wa tatu. Jana nimeenda kuuliza nikaandikiwa kikaratasi namba ya passport na tarehe iliotoka 25/01/2018 itaisha 2018( in fact 2020 haitumiki tena).

Ningeshauri watu wa Uhamiaji muwe na utaratibu wa kutupigia simu pasi zikitoka.

Kwa wale ambao walioomba kama mimi na hazikutoka wana bahati kwasababu wao wanatakiwa kuongeza 100,000 wapate ile mpya na sasa hivi unawasilisha Nation ID tu unapata.

Ila akina sisi 50,000 yetu itatumika kwa mwaka mmoja na miezi tisa baadae tutoe 150,000 kupata mpya.
 
Naimani Kwa hiyo bei ya kupata passport mpya itapunguza ukiritimba kwani itakua sehemu pia ya kuingiza mapato! Binafsi nishajiandaa kisaikolojia..hii ya kijani niliyonayo inaisha August 2020.
 
Kwa hiyo nikiwa na 150k na kitambulisho cha taifa napata passport mpya? Inachukua muda gani?
 
Jana nimepata passport yangu. Imenichukua miezi miwili tangu niwasilishe maombi mpaka kuipata. Wengi walikuwa wanasema inachukua hadi miezi sita.
Niliomba tarehe 24/11/2017 nikapewa ahadi ya kuchukua tarehe 22/12/2017. Nilikwenda kuulizia siku chache baada ya hio tarehe nikaambiwa bado. Cha kukatisha tamaa pale niliwakuta watu waliodai waliomba mwezi May!
Baada ya kusikia hivyo nikasema sitarudi kuulizia hadi mwezi wa tatu. Jana nimeenda kuuliza nikaandikiwa kikaratasi namba ya passport na tarehe iliotoka 25/01/2018 itaisha 2018( in fact 2020 haitumiki tena). Ningeshauri watu wa Uhamiaji muwe na utaratibu wa kutupigia simu pasi zikitoka.

Kwa wale ambao walioomba kama mimi na hazikutoka wana bahati kwasababu wao wanatakiwa kuongeza 100,000 wapate ile mpya na sasa hivi unawasilisha Nation ID tu unapata.

Ila akina sisi 50,000 yetu itatumika kwa mwaka mmoja na miezi tisa baadae tutoe 150,000 kupata mpya.
Naunga mkono uhamiaji wawatumie meseji watu passport zikitoka,kampuni zote za simu ukinunua bando meseji hawawezi zimaliza just meseji,kama wafanyavo idara zingine mfano bank,Bima ya afya nk kuwa huduma yako imekamilika.Mambo ya kwenda kwenda ofisini kuulixia imetoka imetoka ni ya kizamani.Just meseji.
 
Naimani Kwa hiyo bei ya kupata passport mpya itapunguza ukiritimba kwani itakua sehemu pia ya kuingiza mapato! Binafsi nishajiandaa kisaikolojia..hii ya kijani niliyonayo inaisha August 2020.
hivi hii ya kijani itaendelea kutumika mpaka lini.Yangu ni mpya nimepata mwaka jana
 
Nilikuwaga nadhania wewe ndiye @PRONDO. Ila nimegundua kumbe ni watu wawili tofauti.
-Kaveli-
 
Jana nimepata passport yangu. Imenichukua miezi miwili tangu niwasilishe maombi mpaka kuipata. Wengi walikuwa wanasema inachukua hadi miezi sita.

Niliomba tarehe 24/11/2017 nikapewa ahadi ya kuchukua tarehe 22/12/2017.

Nilikwenda kuulizia siku chache baada ya hio tarehe nikaambiwa bado. Cha kukatisha tamaa pale niliwakuta watu waliodai waliomba mwezi May!

Baada ya kusikia hivyo nikasema sitarudi kuulizia hadi mwezi wa tatu. Jana nimeenda kuuliza nikaandikiwa kikaratasi namba ya passport na tarehe iliotoka 25/01/2018 itaisha 2018( in fact 2020 haitumiki tena).

Ningeshauri watu wa Uhamiaji muwe na utaratibu wa kutupigia simu pasi zikitoka.

Kwa wale ambao walioomba kama mimi na hazikutoka wana bahati kwasababu wao wanatakiwa kuongeza 100,000 wapate ile mpya na sasa hivi unawasilisha Nation ID tu unapata.

Ila akina sisi 50,000 yetu itatumika kwa mwaka mmoja na miezi tisa baadae tutoe 150,000 kupata mpya.
Tatizo uhamiaji wameajiri wezi, sasa kuna sababu gani ya kukupatia pass ya zamani? Huku mwanza watu wanaporwa fedha na maofisa uhamiaji
 
Niliomba kabla ya maamuzi ya kubadili hayajatolewa.
 
Back
Top Bottom