Hivi Dunia imeshindwa kugundua kipimo cha Tezi dume?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Huwa najiuliza hivi nikweli wanasayansi wote duniani wameshindwa kabisa kugundua kipimo cha Tezi dume au tunafanyiana makusudi? Nadhani hii siyo fair kabisa, fanyeni mpate njia mbadala na ya uhakika zaidi. Unakuta Daktari anajisifu kuwa hii ndo njia ya uhakika zaidi kwahiyo watu waitumie, angejua mtaani watu wanamaindi sana.

Nimeuliza maana sasahivi wengi wetu ni vijana na tafiti zinaonesha uzeeni tatizo hili huwakumba wanaume wengi, kwahiyo tukifikia uzee na bahati mbaya kukumbwa na tatizo hili mnadhani nini kitafuata kama si kipimo hiki kiovu?
 
Bora nife kuliko kuingizwa vidole m.kun.duni na mwanaume mwenzangu, labda kidogo akiwa daktari Mwanamke naweza nikafikiria
 
Mgonjwa hachagui tiba wala dawa...

Hata kwa wanawake kuna baadhi ya magonjwa na vipimo vingine hata awe na nyodo au kunata vipi lakini lazima amchanulie daktari...

Cc: mahondaw
 
Huwa najiuliza hivi nikweli wanasayansi wote duniani wameshindwa kabisa kugundua kipimo cha Tezi dume au tunafanyiana makusudi? Nadhani hii siyo fair kabisa, fanyeni mpate njia mbadala na ya uhakika zaidi. Unakuta Daktari anajisifu kuwa hii ndo njia ya uhakika zaidi kwahiyo watu waitumie, angejua mtaani watu wanamaindi sana.

Nimeuliza maana sasahivi wengi wetu ni vijana na tafiti zinaonesha uzeeni tatizo hili huwakumba wanaume wengi, kwahiyo tukifikia uzee na bahati mbaya kukumbwa na tatizo hili mnadhani nini kitafuata kama si kipimo hiki kiovu?
Mkuu wewe unaishi dunia gani? Siku hizi wanapima kwa DAMU, huna haja ya KUTIWA KIDOLE!
 
Nafikiri kuna njia zaidi ya hiyo, sio lazima nikutie dole ili nijue kama una tezi dume au hauna..

Huwa najiuliza hivi nikweli wanasayansi wote duniani wameshindwa kabisa kugundua kipimo cha Tezi dume au tunafanyiana makusudi? Nadhani hii siyo fair kabisa, fanyeni mpate njia mbadala na ya uhakika zaidi. Unakuta Daktari anajisifu kuwa hii ndo njia ya uhakika zaidi kwahiyo watu waitumie, angejua mtaani watu wanamaindi sana.

Nimeuliza maana sasahivi wengi wetu ni vijana na tafiti zinaonesha uzeeni tatizo hili huwakumba wanaume wengi, kwahiyo tukifikia uzee na bahati mbaya kukumbwa na tatizo hili mnadhani nini kitafuata kama si kipimo hiki kiovu?
 
tezi-dume.png
 
Back
Top Bottom