Wapo.Wewe mleta mada umeona mtoto hata mmoja wa viongozi wetu anasoma shule za Kata?, watoto wao wote wapo shule bora hapa nchini kama Feza, Mariam, st. Anthony n.k., wanataka waendelee kutawala wao na watoto wao milele na milele, peleka watoto wako kwenye shule bora