Maajabu ya Tanzania na Watu wake

Maajabu ya Tanzania na Watu wake

tryvenak

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
248
Reaction score
298
Kwa utafti nilioufanya binafsi nimegundua Watanzania wengi wanapenda sana habari za umbea na udaku kuliko hbr zenye manufaa ya kulijenga taifa na jamii kwa ujumla. Mfano viongozi hufanya mambo ya ovyo kama kuvuruga mfumo wa elimu, huduma mbaya kwenye jamii, ila raia huwa wanakaa kimya na huona kuwa haya mambo ni ya kawaida.
Likitokea suala la kipuuzi kama wanawake waliotelekezwa na kupewa mimba ovyo utaona watu wanacharuka kweli na media zote kusupport hzo hbr.
Ila ukiangalia mazingira ya hawa wanawake jinsi walivyopata mimba ni sababu za umalaya na kutokuwa makini katika kufanya maamuz.
 
Izo habari zenye manufaa kama za makonda kukusanya wanawake na walio telekezwa lengo kuzubaisha maandamano
 
Au utakuta mtu mzima na akili zake anashabikia bongo fleva na ujinga wa wasanii wake huku akisahau mambo yake muhimu!
 
mkuu umewasema wamegoma kuchangia mada [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimba si mambo ya hovyo hovyo, wanatimiza wajibu wa kuzaa na kuijaza dunia, ni maelekezo kutoka kwa Mungu
 
Mbona we mbea unaleta mada zako za kikuda si ukaushe ufanye yako muhimu. [emoji23] waTz bhana.
 
Watu wamepiga sana ela!kuanzia Mengi, Shigongo na wengineo.

Lazima ujifunze kutowashika vipofu mikono ukitaka kula nao!
 
Mimba si mambo ya hovyo hovyo, wanatimiza wajibu wa kuzaa na kuijaza dunia, ni maelekezo kutoka kwa Mungu
Hatupingi watu kupeana mimba, ila wamepeana katika mazingira gani.
Mimba sio muujiza, mwanamke anaweza kuamua kupata mimba au kutopata mimba.
 
waTZ, mbona mnapenda kudharauliana na kupondana???? hebu ujiezzi na kujitukuza au kusifiana!!
 
waTZ, mbona mnapenda kudharauliana na kupondana???? hebu ujiezzi na kujitukuza au kusifiana!!
 
Back
Top Bottom