Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Looh!Jamaani nimeweka kavocha kangu na kununua Mb saa 1654hrs nikasema ngoja nijifariji na Mange Kimambi saa 1700hrs nkatoka IG nkaenda wasap kidogo Niko naelekea kwenye mishe nimezima data by saa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumekuwa na malalamiko kila kona kuhusu namna ambavyo Serikali,Bunge,Mahakama na vyombo na taasisi zingine za kiserikali namna ambavyo zimekuwa zinatatua matatizo ya wananchi hapa Tanzania. Kila...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Wadau serikali ilipiga marufuku uingizaji wa vifaranga, nia ni njema sana ya kulinda wajasiriamali wa ndani. Lakini tangu marufuku hiyo kumekuwa na upungufu mkubwa wa vifaranga. Mfano hivi sasa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwakuwa ATCL ni shirika la umma ni kwanini deni la shirika hili lisiwekwe wazi kwa umma? CAG kwanini asikague hili deni lote na taarifa ya kiasi cha deni na majina ya makampuni/watu binafsi...
1 Reactions
2 Replies
993 Views
Kuna utafiti uliwahi kusema kuwa sisi watanzania tuna IQ ndogo kuliko nchi zote za Afrika mashariki. Walidai kwenye swala la Abstract reasoning ni wa mwisho kabisa...... na concur observation hiyo...
12 Reactions
71 Replies
6K Views
March 21, 2018 · Low-cost African airline Fastjet and LAM - Mozambique Airlines, have announced the signing of an MoU to explore long-term commercial cooperation. The MoU was signed yesterday...
1 Reactions
1 Replies
677 Views
Mwishoni mwa miaka ya tisini,mwanzoni mwa miaka ya 2000 hadi around mwaka 2014/15 maeneo ya Ubungo kuna kundi la watoto wa kihuni lililojulikana kama "Matembo".Kundi hili lilijumuisha watoto wa...
2 Reactions
164 Replies
23K Views
Serengeti. Ushindani wa kunywa pombe aina mbili za Shujaa na Shimwaa umesababisha kifo cha askari mgambo, Zakayo Thomas (50) maarufu Hayaishi huku mwenzake Patrick Paul akikimbizwa katika...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wenye magari mnapokwenda kujaza mafuta punguzeni na kuacha kila kitu mjue moja la kujaza mafuta, wenzetu sio wote Ni waaminifu. We endelea na sim yako mama geji itapanda
0 Reactions
1 Replies
870 Views
DOKTA. MUNGWA KABILI AELEZEA KWANINI WATU WENGI WANAKIMBILIA KUFUNGA NDOA NA MAJINI PAMOJA MAMBO YA KUFUATA KWA MTU ANAE TAKA KUFUNGA NDOA NA JINI. Akifanya mahojiano...
3 Reactions
38 Replies
19K Views
Watu wote mliopotelewa na vyeti vya taaluma kuanzia kidato cha nne na kidato cha sita,tukutane ofisini kwangu 04 may 2018.
6 Reactions
67 Replies
6K Views
Asuhuhi ya leo nilileta mada nikimsihi Mzee Lowassa apuuzue hili jambo unless ametumiwa wito maalumu lakini si achukue hatua kwa matamshi yaliyoko kwenye ile clip. Ni bahati mbaya uzi wangu...
9 Reactions
53 Replies
6K Views
KWANINI MAISHA YAKO YAWE YA BAHATI NASIBU? Ni meangalia jamii yangu inayo nizunguka hasa kwa vijana bado kuna vimbi kubwa sana la watu wanaishi basi na kujua nn kusudi hasa la kuishi na wala...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Mbunge wa Ulanga, Gudluck Mlinga ameomba Bunge kuzuia wanawake waliofika ofisi za RC DSM kudai wametelekezwa, akisema hatua hiyo ni kuwadhalilisha watoto.
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Hivi kinahofiwa nini kwa hawa wapumbavu wawili kutokupambana uso kwa uso? Mpaka wanatunishiana misuli kwenye nchi za wenzao? Mrusi anataka dili la kuuza silaa, mmalekani anataka dili la kandalasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zamani nilifahamu kua uwalaza/upara ni kwa wazee tu. Lakini siku hizi ni kawaida kijana miaka 20, 21, 22, 23, 24. Kua nao je tatizo ni nini? Na unatibika?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba nijuzwe faida au hasara tulizozipata mpaka sasa kwa kuendelea kung'ang'ania kiswahili kama lugha ya kufundishia!
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Huyu ni mzee aliyegundua na kuokoa kuteketea kwa makaa ya mawe mgodi wa Ngaka uliopo wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma mwaka 2006,anaomba atambuliwe na Serikali. Benedict Mapunda (Rasha) mwenye...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Wanaharakati nchini wametofautiana juu ya utaratibu wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwasikiliza na kuwapa ushauri wa kisheria wanawake wenye watoto ‘waliotelekezwa’ na...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
0 Reactions
2 Replies
705 Views
Back
Top Bottom