Simu zenye battery feki zinaweza kulipuka Bungeni

Simu zenye battery feki zinaweza kulipuka Bungeni

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,789
Reaction score
7,181
Wana JF.

Kwanza kabisa mods usifute uzi huu wabunge wapate shule juu ya technologia ya milipuko ambayo inasababishwa na mawasiliano waliyoyabeba.

Mimi nimefanya kazi nyingi katika sekta hii ya mawasiliano, mojawapo ni mobile phones , laptop na vitu vingine. Power bank zipo za aina nyingi sana. Kuna power bank zimejengewa kwenye simu ; kuna power bank zipo nje ya simu. Kuna power bank zinajitegemea. Power bank iliyojengewa na simu; ina port ambazo zinaweza kuchaji simu nyingine, kuna powerbank zimeunganishwa bateri na cover hizi nazo ni hatari. Power bank zinazojitegemea ni hatari zaidi kwani ni mizania ya bomu. Batery zina vipimo vyake , ukiona bateri imevimba hata kama inatumika unatakiwa kuachana nayo. Kuna simu zilizojengewa battery ndani hizi nazo mbaya; dalili ni kuona joto linazidi kiwango pia mfuniko wa kioo upata nyufa nazo ni hatari zikiendelea kutumika.

Nashauri wabungu wanunue kifaa kinaitwa battery analyser ambacho hupima uwezo wa battery na kujua mbovu. Hii itasaidia kuepuka milipuko.
 
Back
Top Bottom