ndago26
Member
- Apr 10, 2018
- 32
- 24
Hivi kinahofiwa nini kwa hawa wapumbavu wawili kutokupambana uso kwa uso? Mpaka wanatunishiana misuli kwenye nchi za wenzao? Mrusi anataka dili la kuuza silaa, mmalekani anataka dili la kandalasi ya ujenzi baada ya vita, hawa wote ni mashetani wa chini ya jua, hivi hawa tambui ya kwamba wantoa sadaka maisha ya watu? Watoto,wanawake na wazee, leo siria kesho Tanzania kwanini wasipambane wao kwa wao tokea kwenye ardhizao?