Kuwa makini na hili

Kuwa makini na hili

Zogoo da khama

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
640
Reaction score
615
IMG-20180411-WA0015.jpg


Wenye magari mnapokwenda kujaza mafuta punguzeni na kuacha kila kitu mjue moja la kujaza mafuta, wenzetu sio wote Ni waaminifu. We endelea na sim yako mama geji itapanda
 
Jamaa wanacheza na 'fursa'. Hapo labda dereva ashuke ndio ataushtukia mchezo. Side mirror zimeshapigwa 'pini'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom