Mbunge Gudluck Mlinga(CCM) zoezi la RC Dar na Wanawake ni Udhalilishaji wa watoto na sheria haisemi hivyo

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Mbunge wa Ulanga, Gudluck Mlinga ameomba Bunge kuzuia wanawake waliofika ofisi za RC DSM kudai wametelekezwa, akisema hatua hiyo ni kuwadhalilisha watoto.

bunge.jpg
 
kwa hiyo tuzalishe tutelekeze akitokea mtu wa kuwasaidia tuseme wanazalilishwa,,,,, shukuru hayajakukuta . kuna dada ametelekezwa na mumewe mtaani kwangu ana watoto watatu anazunguka mtaani kuomba msaada japo hata wa chakula ,,,,, tuache masihala ... serikali ilichukue kama changamoto iwasaidie.
 
Kwa nini ufanye ngono zembe wakati kuna kondomu?,halafu we ujui siku zako?
 
Kwa hiyo CHOCHOTE anachofanya MAKONDA ni lazima MKITOE KASORO KWA VILE KINAWAGUSA ? ACHENI CHUKI, Makonda kanyaga twende!!
 
kwa hiyo tuzalishe tutelekeze akitokea mtu wa kuwasaidia tuseme wanazalilishwa,,,,, shukuru hayajakukuta . kuna dada ametelekezwa na mumewe mtaani kwangu ana watoto watatu anazunguka mtaani kuomba msaada japo hata wa chakula ,,,,, tuache masihala ... serikali ilichukue kama changamoto iwasaidie.

Kama serikali kupitia ustawi wa jamii ambao ndio wenye hayo mamlaka wameshindwa, je Makonda atawezea wapi? Ingekua vizuri angemuambia Rais haiwezeshe Ustawi wa jamii kuwasaidia hao wote waliotelekezwa.
 
kwa hiyo tuzalishe tutelekeze akitokea mtu wa kuwasaidia tuseme wanazalilishwa,,,,, shukuru hayajakukuta . kuna dada ametelekezwa na mumewe mtaani kwangu ana watoto watatu anazunguka mtaani kuomba msaada japo hata wa chakula ,,,,, tuache masihala ... serikali ilichukue kama changamoto iwasaidie.
Mtoto Wa kwanza unazaa, unatelekezwa, wapili unazaa pia utelekezwe, watatu pia? Loh.....haya hivi unazaaje watoto watatu hata ndugu Wa ukweni huwajui
 
Kutelekeza maana yake n nn.... Hivi unajua wanaume wangapi wamesingiziwa watoto ambao sio halali yao?... Yaani we ukiitiwa mimba tu ukubali, umejua sababu ya kutelekezwa hao watoto?... We una uhakika kama huyo unayemuita baba yako ni baba yako wa halali?.... Tangu amezaa alishaenda ustawi wa jamii Mara ngapi? Makonda ni shahidi wa ukweli wa mimba hizo?.. Akili zenu za kuvukia barabara ndipo zilipoishia kutengeneza visasi vya kisiasa..... Ila sitashangaa kama aliforge vyeti na hili atalitengeneza, lakini ukweli utabainika tu
 
kwa hiyo tuzalishe tutelekeze akitokea mtu wa kuwasaidia tuseme wanazalilishwa,,,,, shukuru hayajakukuta . kuna dada ametelekezwa na mumewe mtaani kwangu ana watoto watatu anazunguka mtaani kuomba msaada japo hata wa chakula ,,,,, tuache masihala ... serikali ilichukue kama changamoto iwasaidie.
kuna vitengo husika kwanini visifuatwe?
 
Hii mission ya bashite imeshafail mapema tu pale alipoanza kutangaza kwenye mitandao ya kijamii kwamba huyu ni mtoto wa lowassa, mara kuna wabunge 47 na viongozi wa dini 10.
Hapa ndio alipochemka hasa hata kama alikua na nia njema,
Ila bashite anavyojulikana kwa roho mbaya sidhani kama kuna kitu huwa anafanya kwa nia njema
 
kwa hiyo tuzalishe tutelekeze akitokea mtu wa kuwasaidia tuseme wanazalilishwa,,,,, shukuru hayajakukuta . kuna dada ametelekezwa na mumewe mtaani kwangu ana watoto watatu anazunguka mtaani kuomba msaada japo hata wa chakula ,,,,, tuache masihala ... serikali ilichukue kama changamoto iwasaidie.
Natamani nikupige BAN sema nimekosa umoderator wa JF, yani unatetea mtu kuvunja sheria kwa kigezo cha kutetea watu?? (Japo kiuhalisia kuna watu analenga kuwachafua), Siku ukijua umuhimu wa kufuata sheria utaelewa nachokuambia. Afu kwenye hao wanawake wengi wao wameshasikilizwa na taasisi husika na mashauri yao yalishapatiwa ufumbuzi sema hawajaridhika. Wapo ambao baba wa watoto wanatoa matumizi kulingana na vipato vyao ila wanataka nao watunzwe kama Hamisa Mobeto.
 
kwa hiyo tuzalishe tutelekeze akitokea mtu wa kuwasaidia tuseme wanazalilishwa,,,,, shukuru hayajakukuta . kuna dada ametelekezwa na mumewe mtaani kwangu ana watoto watatu anazunguka mtaani kuomba msaada japo hata wa chakula ,,,,, tuache masihala ... serikali ilichukue kama changamoto iwasaidie.
Ofisi za ustawi wa jamii unazijua pamoja na majukumu yake kisheria???????????????????????
 
Mtoto Wa kwanza unazaa, unatelekezwa, wapili unazaa pia utelekezwe, watatu pia? Loh.....haya hivi unazaaje watoto watatu hata ndugu Wa ukweni huwajui
Ukikutana na mwanamke wa hivyo mpeleke BRELA akasajili hicho kiwanda...
 
Kwani hakuna mahakama zitendazo haki mpaka huyo mpeperusha kibendera hicho asifiwe kama vile ameahidi kuwatunza?

Hebu tujisahihisheni tukikosea,watoto wanadhalilishwa na kuteswa kimwili na kisaikolojia
 
Back
Top Bottom