Nyie Halotel huu sasa wizi

Nyie Halotel huu sasa wizi

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,375
Reaction score
56,096
Looh!Jamaani nimeweka kavocha kangu na kununua Mb saa 1654hrs nikasema ngoja nijifariji na Mange Kimambi saa 1700hrs nkatoka IG nkaenda wasap kidogo Niko naelekea kwenye mishe nimezima data by saa 1830hrs

Heee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] nawasha data saa 1930 eti nimebaki na Mb tano!

Jamaaani nyie Mbona waizi live bila chenga,hamjui kua tunapambana na hali zetu mshatufanya mtaji eeeh!

Nawahama kesho asubuhi!nahamia airtel loooh![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] matapeli nyie!
Vihela vyenyewe vya ngama hivii!za kuuza askirimu na ubuyu!
 
Download 'Internet speedmeter' uwe unamonitor matumizi yako mrembo.
 
Inawezekana kuna kitu wameagizwa wafanye kwa wanaodhamiria kwenda kwa Mange isipokuwa wanaodhamiria kwenda kwenye sakata la wanawake waliotelekezwa Dar tu
 
Wamelewa sshv maana wamepunguza sana utoaji wa MB mie nawapimia hatua kabla sijawashit
 
Back
Top Bottom