Leo Asubuhi nikiwa nafuatilia kipindi cha kumekucha kupitia Runinga yetu pendwa ya ITV kipindi ambacho hupitia vichwa vya Magazeti mbalimbali,Cha ajabu Bw.Mpayo alisoma gazeti moja akisema...
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linawashikilia wanafunzi 9 wa Chuo Kikuu cha Stella Maris na Daktari wa Hospitali ya Mission Nanyamba, wakituhumiwa kutumia mitandao ya kijamii ikiwamo WhatsApp na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameziomba mamlaka za elimu kufunga shule kwa siku mbili kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
Makonda amesema hayo leo Jumatatu, Aprili 16 alipokuwa...
Hasa kwa wale wenye private car, usafiri binafsi hakikisha unatembea na dumu na chujio kwa ajili ya usalama wa injini zipo chujio madukani, ukifika kituoni kinga dumu lako kama ni 5Lts haidanganyi...
Leo Dar ni kama imesimama mafuriko kila sehemu, barabara hazipitiki foleni kila sehemu, jangwani kumejaa maji, mabasi ya mwendokasi yamesitisha safari, inasemekana mvua hizi zitaendelea kwa siku...
Gerson Msigwa,
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ikulu (Rais).
Amekuwa akiandika Taarifa kwa vyombo vya habari (headline), ila kwa uelewa wangu nadhani anakosea. Kwa nini? Kwa sababu anayetaarifiwa...
*Wananchi waoga waliotishwa wakatishika haswa
*Hata uliodhani ni wasomi kumbe ni hopeless kabisa
*Vigeugeu haijalishi ni profesa au doctor baada ya kupata ulaji wamengeuka kabisa
*Thinking...
Umepata kura 6 tu! Jitafakari! Make a self assessment!
MATOKEO
1. Ms. Fatma Karume - Kura 820
2. Mr. Godwin Ngwilimi - Kura 363
3. Mr. Godwin Mwapongo - Kura 12
4. Mr. Godfrey Wasonga - Kura 06...
Magari yanatanua, vurugu tupu, madereva wa STK, STL, SU pamoja na Dala dala wanavuruga utaratibu, sijui hawa madereva wa SU, STK na STL wanjifunzia wapi udereva? Msipowahi kuna bomu la foleni!!!
Hii ni special kwetu wazee wa barabarani share chochote kuhusu barabara kuu e.g. Kipande kipi cha HIGHWAY kizuri, kibovu, chenye watekaji wengi, wazee wa torch wengi ,sehemu yenye sharp corners...
Aise hii sio RUSHWA ni hatar hasa waliokuwepo Jana zamu Hawaogopi hata kidgo
Tafadhali sanaaa kabla hatujawarekodi na kukutumia video watu hawa waamishe hapo.
Nimeona kwenye luninga ya Star kuna tangazo la kipindi chao kipya kiitwacho Agenda 2020. Katika tangazo hilo wamemtoa Rais Magufuli, kisha Lowassa wakiwa kwenye kampeni za urais 2015. Mwisho...
wakazi wengi watoto wa mkoa wa dar wanasoma shule za kawaida wakikutana na changamoto nyingi sana wakati wa kwenda shule na kurudi kwa ajiri ya adha ya usafiri.
kwa hali ilivyo ningeshauri shule...
Jamani kumekuwa na tatizo la fisi kupita kiasi kanda ya ziwa mbaya zaidi zinatafuna watu na hasa mifugo mpaka kufikia pasaka mbuzi na kondoo 6 za nyumbani zilishatafunwa Serikali ya mkoa Simiyu...
Kwa mvua zinazoendelea kunyesha nilitegemea kuona tahadhari za mara za mara kwa mara kwenye vyombo vya habari mitandao ya kijamii nk lakini nasikitika kuna kamati ya maafa ya taifa iliyochini ya...