nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
*Wananchi waoga waliotishwa wakatishika haswa
*Hata uliodhani ni wasomi kumbe ni hopeless kabisa
*Vigeugeu haijalishi ni profesa au doctor baada ya kupata ulaji wamengeuka kabisa
*Thinking capacity ipo chini imeachiwa watu wawili kutoka kanda ya ziwa kuwaburuza watu millioni 55
*Mizaha hadi kwenye mambo ya muhimu,utasikia saluni na vyerehani ni viwanda,utasikia ,agh kwani we unahoji WIZI wa trilioni 1.5 na nusu mbona kwenye chama chako mahesabu yana matatizo,yaani kwao 1.5 trillion is not a big deal
*hata ulete proof ya aina gani sasa hivi kuhusu ufisadi wa kutisha unaoendelea utasikia agh jamaa wanachapa kazi bana,nidhamu imerudi na ufisadi umedhibitiwa,hopeless kabisa kilichodhibitiwa ni uhuru wa kuhoji madudu yanayoendelea
**Poor Tanzania,it w ill take another 20 years to rebuild what has been demolished in the past 2 years*
Ni drama ,drama za kipuuzi,wengine wangeendelea tu kuwa walezi wa wasanii watengeneza ma kiki sababu that's where they fit badala yake wanapewa uongozi na kugeuza Circus,what a joke.
Tukishajenga huo ukuta wa kuznguka na mlima kilimanjaro,tujenge na serengerti pia kutenganisha na masai mara.
*Shangaa hapo kuna wanaoshikia kidedea richmond na escrow isiyozidi bilioni 400 ila wanatetea wezi wa billions 1,500.
WE ARE DOOOOMED.