Barabara ya Morogoro haipitiki baada ya kutokea ajali

Barabara ya Morogoro haipitiki baada ya kutokea ajali

MBIIRWA

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Posts
2,706
Reaction score
5,611
Kuna foleni kubwa iliyosababishwa na ajali. Magari yanayotoka Barabara ya chalinze-segera na morogoro mnashauriwa kupita Njia ya msata-Bagamoyo-Dar.
 
Mungu awakinge wote ikiwezekana isitokee si kifo tu ila hata majeruhi wasiwepo maana sasa hali imekuwa sio nzuri kila ajali utasikia wamekufa abiria kadhaa.
Otherwise tunashukuru sana kwa taarifa mkuu.
 
Back
Top Bottom