kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,894
- 2,806
Kumekuwa na fikra mbaya sana kwetu sisi watanzania kwamba mtu akiwa tajiri ni mwizi. Tumekuwa tukishangilia kila tajiri akisulubishwa na kusahau tunaangamiza uchumi wetu.
Watanzania tunatakiwa tujitahidi nasisi tuwe matajiri lakini tumelishwa sumu kwamba tukiwa masikini ndio wazalendo.
Tunatakiwa kufufuliwa kama tumekufa.
Watanzania tunatakiwa tujitahidi nasisi tuwe matajiri lakini tumelishwa sumu kwamba tukiwa masikini ndio wazalendo.
Tunatakiwa kufufuliwa kama tumekufa.