Kibonzo cha siasa!!

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,220
4,056
Mtu akiwa ndani ya CCM anaonekana Fisadi....
Mtu huyo huyo anayeonekana Fisadi akiwa ndani ya CCM akihamia CDM anaonekana msafi...

:bange::A S-coffee::A S-confused1:
 
Jipange upya

Peleka kwenye jukwaa la Jokes pambaf wewe kama huna cha kupost hapa kaa kwenye lile jukwaa lako la kila siku la mapenzi
 
Mtu akiwa ndani ya CCM anaonekana Fisadi....
Mtu huyo huyo anayeonekana Fisadi akiwa ndani ya CCM akihamia CDM anaonekana msafi...

:bange::A S-coffee::A S-confused1:
Kibonzo hakina mashiko!
Huna mfano halisi wa jambo hilo!
Milya mnamsingizia kwa roho mbaya zenu na Nepi!
 
Unafahamu nadharia ya "Kuokoka"??????? hii ni kwa wakristo sijui waislam wanaitaje kitendo cha kuacha dhambi na kumkana shetwani na kujutia dhambi zako huku ukikiri kutokutenda dhambi tena nakuamua kuishi maisha mapya. Wana CCM ni kama wanaokoka
 
wote wanao kuja CDM kwanza wanapewa kitubio kwa ungama madambi yao yote na kufanyiwa sala ya toba. akirudia nje! sasa wewe unashangaa nini. nawewe fanya hivyo utapokelewa.
 
Kuna mechanism gani ya kucontrol kama kweli huyo mtu ametubu, na hawezi tena kurudia yale aliyokuwa akiyafanya mwanzoni?
 
Kibonzo hakina mashiko!
Huna mfano halisi wa jambo hilo!
Milya mnamsingizia kwa roho mbaya zenu na Nepi!

Unaona mnaanza kujikaanga wenyewe. Mimi sijamtaja mtu yeyote. Nataka tu kufahamu msimamo wa CDM kwa the so called Fisadi's tuanowafukuza kwenye chama chetu... Naona baadhi wanapokelewa kwa mbwembwe sana
 
Hivi kumbe lijao huwa ni hamnazo eee? People change, wanapoona system wanayofanyia kazi imewachosha lazima wabadirike na waachane nazo. na ndio maana kwa wale washika dini ukiokoka hata kama jana ulitenda dhambi unaonekana msafi, na ukihamia ukristo au uislamu ukifika kule hawatakwambia mbona jana ulikuwa mkristo/muislam.

Jipange kaka bado huwezi tafakari kwa kina
 
Mtu akiwa ndani ya CCM anaonekana Fisadi....
Mtu huyo huyo anayeonekana Fisadi akiwa ndani ya CCM akihamia CDM anaonekana msafi...

:bange::A S-coffee::A S-confused1:

Nguo chafu ikifuliwa huwa inakuwa safi, mwili mchafu ukioga unakuwa safi,

Ndege wa rangi moja huruka pamojaaaaaa Uliona wapi Bundi kwenye kundi la Njiwa eeeeee!!

CCM wote wana rangi moja.

CHADEMA wote wana rangi moja.

Mtu akitoka CCM kwenda CDM lazima atafuata masharti ya CDM

Mtu akitoka CDM kwenda CCM lazima atafuata masharti ya CCM.

Ukiona wenzio wanatembea UCHI na wewe vua nguo.

KIFO CHA CCM KIMEFIKA!!!!!!!!

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
wote wanao kuja CDM kwanza wanapewa kitubio kwa ungama madambi yao yote na kufanyiwa sala ya toba. akirudia nje! sasa wewe unashangaa nini. nawewe fanya hivyo utapokelewa.
Rejao, umebaki wewe njoo ufanyiwe maombi.
Hii language mnayotumia naona kama imeegemea kwenye imani fulani ambayo mimi siiamini wakuu.
Bado sijapata majibu ya hao watu mnawachukuliaje. Hii itasaidia na wengine wafahamu msimamo wenu.
 
Kuna mechanism gani ya kucontrol kama kweli huyo mtu ametubu, na hawezi tena kurudia yale aliyokuwa akiyafanya mwanzoni?

Hiyo ndiyo changamoto inayobidi kuletwa na mimi nashauri kwamba hawa watu wasipewe nafasi zozote katika chama zaidi ya kuwa wanachama wa kawaida au unasemaji Rejao
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ndiyo changamoto inayobidi kuletwa na mimi nashauri kwamba hawa watu wasipewe nafasi zozote katika chama zaidi ya kuwa wanachama wa kawaida au unasemaji Rejao
Kinachonitatiza ni kwamba, kwanini CDM wanakurupuka kuwapokea bila hata kufanya analysis na kama kuwa interview hawa watu ili wafahamu kilichowatoa CCM ni nini? Kumbuka kama hawa watu walikuwa Tatizo ndani ya CCM na huko CDM wanaenda kuongeza matatizo tena,,
 
Nafikiri wapenzi na mashabiki wa Chadema hapa JF hamna haja ya kumshambulia Rejeo kiasi hicho, kama mkiitizama kauli au mawazo yake kwa upana zaidi yana mashiko ndani yake! Rejeo you are right you most people are curious to know the mechanism Chadema will use to control the so called "Fisadis", afterall even though it is true that curiosity killed the cat, but it is also true that the same curiosity make a good scientist! kama Chadema wanataka kufanya mambo yao kisasa zaidi wawe curious kama Rejeo, wasiwafurahie tu hawa "wana wapotevu" waliokuwa wanakula na nguruwe ugenini, na sasa wameamua kurudi kwa baba kuomba radhi, jambo wafanywe watumishi!
 
Nguo chafu ikifuliwa huwa inakuwa safi, mwili mchafu ukioga unakuwa safi,

Ndege wa rangi moja huruka pamojaaaaaa Uliona wapi Bundi kwenye kundi la Njiwa eeeeee!!

CCM wote wana rangi moja.

CHADEMA wote wana rangi moja.

Mtu akitoka CCM kwenda CDM lazima atafuata masharti ya CDM

Mtu akitoka CDM kwenda CCM lazima atafuata masharti ya CCM.

Ukiona wenzio wanatembea UCHI na wewe vua nguo.

KIFO CHA CCM KIMEFIKA!!!!!!!!

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

Sidhani kama uliyosema yana ukweli wowote. Kumbuka kila mtu yupo ndani ya chama fulani kwa ajili ya kufanikisha malengo yake. Akishindwa kuyatimiza ndio utaona akimbilia sehemu iliyo INFERIOR ili aweze kuyatimiza..
 
Back
Top Bottom