Usomi ni nini?

Christina84

Member
Aug 5, 2017
74
50
Hello JF,

Kielimu na nchi nyingine lets say western countries tunachotofautiana;

Ni culture ya kujisomea vitabu,

Tangia umri mdogo watoto wao wanaongozwa kusoma vitabu na kwenda library.

Watoto wanaimarishwa kuwa na 'intrest' ya kujisomea vitabu,

Si kweli wazungu wote wamefika elimu ya juu/chuoni......ila wengi wamesoma vitabu na wana general knowledge kubwa,unakuta mtu form four au six anajua mambo mengi,kwa sababu anasoma vitabu

Na sisi tunaweza use the same strategies tuwe na mkakati wa kuwa na watu wanaojua general knowledge na sio wachache walioenda hadi chuo kikuu na MAJORITY kuwa gizani.

Naomba mpendekeze nini kifanyike kwa sasa kubadilisha hii culture?
 
Back
Top Bottom