Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WATU wanapambana kila siku kuhakikisha wanatoka kimaisha. Wale wasiokuwa na kitu wanajitahidi kufanya liwezekanalo ilimradi tu mwisho wa siku wafanikiwe. Waitwe wafanyabiashara wakubwa, mabilionea...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Mkimbiza Mwenge Kitaifa lazima awe mtu ambaye amewahi kupitia Mafunzo ya Jeshi la Wananchi la Tanzania JWTZ? Wataalam naomba mnijuze
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba wajuzi wa mambo mnisaidie kkufahamu hili, nilikuwa nasoma TANZANIA ROAD DISTANCE CHART IN KM - JUNE 2012 ambayo kwa bahati mbaya nimeshindwa kuattach kutokana na changamoto ya mtandao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuweni makini na huyu mtu anaitwa, (Ezekiel Ephraim kachare) ni tapeli kampuni yake ni(IRIS INSURANCE AGENCY) alitangaza kazi.. baadae akatuita kwenye interview.. tena tukatoka mikoan baada ya mda...
9 Reactions
44 Replies
6K Views
JamiiForums yajulikana kuwa na wahenga, wenye elimu na maarifa yao... Tumeagiza gari, toka 16th March, twataka kujuwa Storage charges Bandarini mpaka sasa zitakuwa kiasi gani... Tutashukuru...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Hata Ndege zetu walianza hivi hivi mwishowe tukasikia Muzungu amezishika, hivyo muda siyo mrefu mtasikia watu wa wildlife, watunza mazingira na wanyama mpaka hata UN wakipinga sisi kujenga...
13 Reactions
81 Replies
7K Views
Sijajua kama nitakuwa nimeenda kinyume na mapenzi,huruma,mtazamo au mawazo ya walio wengi ila hata mimi kumbuka ni binadamu niliye na uhuru wa kutoa mawazo au kushauri jambo ambalo katika hisia...
2 Reactions
1 Replies
752 Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewatawanya kundi la watu waliokuwa na mabango yakiashiria shida mbalimbali na kusema huo si wakati wake. Hayo yametokea kwenye uzinduzi wa Hospitali...
1 Reactions
77 Replies
10K Views
UTAFITI uliofanywa na wasomi wa Chuo Kikuu cha Nottingham nchini Uingereza ulibaini kuwa Watanzania ndio watu wasio waaminifu duniani. The British and Dutch are the most honest in the world...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Sisemi kama haitokei lkn sijawahi kuona Maaskofu wa haya Makanisa wakifanya hivi, kama vile Yesu alivyofanya, yaani kuosha miguu ya wafungwa na masikini, Je huwa wanafanya hivyo? Ikumbukwe...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
UNAISHIKASHIKA NI YAKO? nikumbusheni jamani mnao kumbuka aliyetumia hii kauli.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baba yake Mzazi ni Rafiki yangu mkubwa sana tu na tunaheshimiana halafu hata Kiumri ni kama Mdogo wangu ila tatizo ni kwamba Mwanamke wake wa sasa sijui keshamroga au hapana kwani ( Jamaa )...
10 Reactions
41 Replies
5K Views
wadau napenda kujua prof abdallah jumbe safari ni mhadhiri wa chuo gani nchini? Kwasababu ametokea kuwa mwanasiasa na mwanasheria maarufu nchini na anayeheshimika.
1 Reactions
19 Replies
12K Views
Hali ya usafiri kwa barabara kuu ya Morogoro yaani kuelekea Saranga kuanzia TEMBON nyakati za jioni au wakati wa mvua,ni shida na usumbufu mkubwa sana. Usafiri mkuu kwa kipande hiki cha km nne...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza nianze tu kusema kwamba sina historia ya kuota ndoto mbaya au nzuri halafu isitokee hivyo nadhani Mwenyezi Mungu ‘ alinipendelea ‘ mno Mimi Mtoto wake ‘ mpendwa ‘ GENTAMYCINE ambaye na...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Kuna Rafiki yangu amehamishiwa Morogoro kutokea Arusha; sasa anahitaji kusafirisha baadhi ya vitu vya kuanzia Maisha; Kwa mwenye kujua gari/kampuni yenye bei poa tafadhali
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kuna siri nzito ndani ya JF Kwanza napenda tu kuwapa pole na majukumu ya kila siku,nimeamua kusogeza hapa mtazamo wangu ili na mimi kidogo nijione mwenye kufanana na ninyi kwa mawazo,mijadala na...
11 Reactions
37 Replies
3K Views
Wanawake wa Freemason wamekuwa wakikutana kwa zaidi ya miaka 100 sasa, wakifanya matambiko na sherehe sawa na wenzao wa kiume. Lakini si watu wengi wanaofahamu kuwepo kwa kundi hili. Baada ya...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Katika hari isiyo ya kawaida kijana Elia Haule ambaye ni tax driver amepotea katika mazingila ya kutatanisha. Imeelezwa kwamba siku ya tarehe tano ya mwezi huu mida ya saa mbili jioni aliwapokea...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Wasalam wandugu nahitaji kufahamu sehemu nayoweza pata Gazebo au tents za aina hii katika picha na bei zake zinacheza kwa shingapi pia kama kuna maelezo ya ziada kuzihusu itapendeza zaid I ikwapo...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…