Mbeya: Kijana Elia Haule amepotea katika mazingira ya kutatanisha

kinandinandi

Senior Member
Apr 3, 2015
183
142
Katika hari isiyo ya kawaida kijana Elia Haule ambaye ni tax driver amepotea katika mazingila ya kutatanisha. Imeelezwa kwamba siku ya tarehe tano ya mwezi huu mida ya saa mbili jioni aliwapokea wateja walikuwa watatu ambao walimwambia awapeleke folest mpya. Unaambiwa tangu awapeleke hao wateja wake mpaka hivi leo hajapatikana yeye pamoja na gari lake

Hili hapa ni ombi kutoka kwa dada yake na Elia

Pls jaman kwa atakae muona huyu kijana popote tafadhari naomba mnitaarifu kwa kweli.
Ni driver tax mwanjelwa mbeya anaitwa elia haule gari yake ni carina Toyota cjc 834.
Amepotea ktk mazingira ya kutatanisha.
Naomba nisaidie kushare kwenye groups mbalimbali.
No 0757198724
No 0758079839
No 0766441088
No 0758542723
No 0755169610
No 0755051035
No 0766725061
FB_IMG_1523784932650.jpg

Update mwili wa kijana Elia Haule umepatikana leo hii kwenye mtalo folest mpya mbeya leo hii ukiwa umeharibika vibaya taalifa inasema kwa jinsi mwili ulivyo haribika utazikwa leo hii hii kwa maana inaonyesha aliuwawa siku kumi zilizo pita
 
Dah poleni sana mungu tuu amrudishe akiwa hai maana kadhia ya kupotelewa na ndg inauma kweli kweli haswa kwenye mazingira kama hayo !
 
Katika hari isiyo ya kawaida kijana Elia Haule ambaye ni tax driver amepotea katika mazingila ya kutatanisha. Imeelezwa kwamba siku ya tarehe tano ya mwezi huu mida ya saa mbili jioni aliwapokea wateja walikuwa watatu ambao walimwambia awapeleke folest mpya. Unaambiwa tangu awapeleke hao wateja wake mpaka hivi leo hajapatikana yeye pamoja na gari lake

Hili hapa ni ombi kutoka kwa dada yake na Elia

Pls jaman kwa atakae muona huyu kijana popote tafadhari naomba mnitaarifu kwa kweli.
Ni driver tax mwanjelwa mbeya anaitwa elia haule gari yake ni carina Toyota cjc 834.
Amepotea ktk mazingira ya kutatanisha.
Naomba nisaidie kushare kwenye groups mbalimbali.
No 0757198724
No 0758079839
No 0766441088
No 0758542723
No 0755169610
No 0755051035
No 0766725061View attachment 745177
Mwili wa kijana Elia Haule umepatikana leo kwenye mtalo folest mpya mbeya leo ukiwa umeharibika vibaya
 
Imeahirishwa atazikwa kesho asubuhi
Ifaamike pia kwamba ELia anatoka balozi moja na kijana Alen Achile ambaye alifariki muda mchache baada ya kutoka mahabusu
 
Poleni sn mkuu ila suapect no moja wanaweza kuwa green guard maana saaizi ccm imekuwa genge la uhalifu
 
Back
Top Bottom