Kuuliza si Ujinga - TANROADS

Kuuliza si Ujinga - TANROADS

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
43,060
Reaction score
51,322
Naomba wajuzi wa mambo mnisaidie kkufahamu hili, nilikuwa nasoma TANZANIA ROAD DISTANCE CHART IN KM - JUNE 2012 ambayo kwa bahati mbaya nimeshindwa kuattach kutokana na changamoto ya mtandao, nikakutana na kitu ambacho sijaelewa, naomba kuelekezwa;

  1. Nimetazama umbali wa Moshi hadi Morogoro ni Km 541, Umbali wa kutoka Morogoro hadi Mbeya ni Km 630 na Umbali wa kutoka Moshi hadi Mbeya ni Km 1100
  2. Nimetazama umbali wa Moshi hadi Iringa ni Km 769, Umbali wa kutoka Iringa hadi Songea ni Km 455 na Umbali wa kutoka Moshi hadi Songea ni Km 1224
Swali langu ni hapo namba 1 nilitegemea umbali wa kutoka Moshi hadi Mbeya ungekuwa 541+630=1171 na siyo 1100, na wengine mnaweza kutazama mikoa mingine.

Nawasilisha kwa msaada zaidi
 
inategemea unapita njia gani, njia ziko nyingi, jiongeze basi
 
Umbali Dar~Bagamoyo(Msata) 222km.
Urefu Dar~Bagamoyo(Kerege)
60km

Kuna taabu gani hapo?
 
Naomba wajuzi wa mambo mnisaidie kkufahamu hili, nilikuwa nasoma TANZANIA ROAD DISTANCE CHART IN KM - JUNE 2012 ambayo kwa bahati mbaya nimeshindwa kuattach kutokana na changamoto ya mtandao, nikakutana na kitu ambacho sijaelewa, naomba kuelekezwa;

  1. Nimetazama umbali wa Moshi hadi Morogoro ni Km 541, Umbali wa kutoka Morogoro hadi Mbeya ni Km 630 na Umbali wa kutoka Moshi hadi Mbeya ni Km 1100
  2. Nimetazama umbali wa Moshi hadi Iringa ni Km 769, Umbali wa kutoka Iringa hadi Songea ni Km 455 na Umbali wa kutoka Moshi hadi Songea ni Km 1224
Swali langu ni hapo namba 1 nilitegemea umbali wa kutoka Moshi hadi Mbeya ungekuwa 541+630=1171 na siyo 1100, na wengine mnaweza kutazama mikoa mingine.

Nawasilisha kwa msaada zaidi
Unamaanisha na Km nazo tumepigwa?
 
Back
Top Bottom