Tatetitotu
Member
- Mar 6, 2018
- 58
- 42
Wasalam wandugu nahitaji kufahamu sehemu nayoweza pata Gazebo au tents za aina hii katika picha na bei zake zinacheza kwa shingapi pia kama kuna maelezo ya ziada kuzihusu itapendeza zaid I ikwapo durability
Hii no ya Mtandao ganiToa order nikutengenezee, toa na size, Malipo ukipokea mzigo.
Kwa mawasiliano +254797636350.
KARIBU SANA
Kenya iyoHii no ya Mtandao gani
Hiyo ni namba ya kenya ina maana huyo mtu KenyaHii no ya Mtandao gani
Safaricom Ya Kenya.Hii no ya Mtandao gani