Prof Safari ni mhadhiri wa chuo gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof Safari ni mhadhiri wa chuo gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mhalisi, Mar 10, 2012.

 1. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  wadau napenda kujua prof abdallah jumbe safari ni mhadhiri wa chuo gani nchini? Kwasababu ametokea kuwa mwanasiasa na mwanasheria maarufu nchini na anayeheshimika.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  MOD ihamishie hii THREAD kule jukwaa la Elimu dogo akasubiri jibu lake huko. Jibu ninalo lakini simpi mpaka uzi ufikishwe kunako husika kwanza.
   
 3. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uvivu wa kusearch no unaokusumbua!
   
 4. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi huwa namuona TBC1 akitoa maana ya nahau za kiswahili.Anayejua chuo plizzz tuwekee hapa.
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  chuo cha ugavi kile cha masaburi
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  So,anae kuwa na hizo sifa lazima awe mhadhiri?
   
 7. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  c ndo yupo anafanya research..mbna umekaa ki umbea mkuu?
   
 8. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  to know road a head ask those who are coming back.

  hayo si maneno yangu bali nimaneno ya wachina, so sioni losa la jamaa.
   
 9. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,569
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  What if there is no one coming back?
   
 10. O

  Ogah JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  lol....hahaha......hivi "Prof" Vulata ni mhadhiri wa chuo gani......lol
   
 11. O

  Ogah JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mangi,....hapo inabidi tutunge msemo wetu............maana inakuwa sio wa kichina tena.....lol
   
 12. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kwani ww umesoma wapi? Mm kipindi nipo ud alikuwa prof wa sheria cna uhakika kwa sasa yuko wapi! Kwani tatizo nini?
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Prof. Abdallah J. Safari alikuwa mwalimu chuo cha diplomasia kilicho chini ya wizara ya mambo ya nje kwa miaka mingi

  Prof. Abdallah J. Safari amekuwa mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa muda mrefu sana Tanzania

  Hivi karibuni amerubuniwa na cdm (baada mshiko mzuri) ili chadema isionekana kuwa ni chama cha kanisa..

  Anatumikia tumbo lake; huko chadema wakishamtumia watamtupa
   
 14. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Are you normal?
   
 15. b

  busar JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Go so that others May ask you as u com back
   
Loading...