Wale wanaojuwa ku calculate CDM charges/Storage Charges, tuelemishane

mbongowakweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
848
Reaction score
686
JamiiForums yajulikana kuwa na wahenga, wenye elimu na maarifa yao...
Tumeagiza gari, toka 16th March, twataka kujuwa Storage charges Bandarini mpaka sasa zitakuwa kiasi gani...
Tutashukuru watakaotusaidia..
Asanteni
 
Aina gani ya gari na meli imefika lini
 
Nissan Cube, 2008 1500cc, meli imeingia 18th March
Thanks bro..
Kama imefika tarehe 16 kama ulivyosema storage itakuwa siku 26 × 10 × 1$ jibu lake ongeza 18% ya vat. Handling 4.5 × 10 plus vat amount hizo hapo ni dollars.
 
4.5 x 10 x $1 x 18% = Handling charges siyo?
Je zile 7 days za kusamehewa umeweka mkuu?
 
Ndio march utakuwa na siku 15 - 7 plus 18 za april ndio ikaja 26
Nimepata...
  • Storage charges kama 720,000/=...
  • Handling charges kama 120,000/=..
Nimekosea au?! kama nimekosea nijulishe please...
Asante kwa elimu mkuu, ubarikiwe..
 
Kuna wakati tuliomba kuipeleka bond, TRA wakatukatalia, sasa na zile sikukuu za muungano na pasaka siku zikazidi kwenda...
Tukiomba waiver twaweza kufanikiwa?
 
Hajakosea inaweza kuzidi au kupungua lakini tofauti haitakuwa kubwa sana
 
Unaweza jaribu lakini wanataka uwe na strong reason ya kuchelewa kutoa
 
Ubarikiwe MANI natumaini wengi tu wame/watafaidika na maarifa na elimu yako uliyotupatia...
Thanks mkuu..
 
Formalar ni hii
Kama ni local hesabu siku7za free tangu siku yakuingia meri zinazo ongezeka ni cmb xsiku zilizozidi jumlisha handling ambayo ni cmb x 4.5
Jumla yake tafuta asilimia 18 ambayo nivat pesa ipo in Usd.. Not tsh
 
na cmb ni nini mkuu, naomba figure yake..
 
Back
Top Bottom