Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

SERIKALI YAFAFANUA KUHUSU CHANELI ZA BURE PINDI WANANCHI WANAPOISHIA NA VIFURUSHI 27 December, 2017 Kutokana na malalamiko ya mara kwa mara kwa wananchi kuhusu kukosa huduma ya runinga za bure...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
Hapa nchini hatuna Nchi inayoitwa Tanganyika. Kwa sababu ambazo ni Classified Tanganyika ilipotea kimagirini magirini. Lakini leo kipo chama cha mawakili wa Tanganyika. Hawa wana wakilisha Eneo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu Habari. Mwenye nakala laini (soft copy) ya kitabu cha mawasiliano serikalini anisaidie please. Hasa ile ya hivi karibuni au namna yoyote naweza pata contacts za ma RAS na DE Tanzania nzima...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Vodacom toka juzi nimegundua kuna test mnayoifanya ila hamsemi kwanini mna test bila ya kutupa taarifa wala kutuomba radhi kwa kinachoendelea, hakuna taarifa yoyote. Kila ifikapo muda wa saa 2.40...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Samahani, ningependa kujua utaratibu wa mtu kuitwa kituo cha polisi Ipo hivi, leo mida si mirefu, nimepokuta missed call kwenye simu yangu. Nilipopiga, nikauliza mwenzangu nani maana nimekuta...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mainjinia waliohusika kujenga hapo ni kweli hamkujua kama jambo kama hili linaweza kutokea na kusababisha usumbufu kwa wananchi? Mnashauri nini kwa mamlaka husika ili hali kama hii isitokee...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Arusha wamehojiwa na kikosi maalumu kutoka mamlaka hiyo makao makuu jijini Dar es salaam kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa...
5 Reactions
41 Replies
8K Views
Nasikitika kusema haya lakini ndiyo ukweli.Hawa jamaa wanasoma miaka minne chuo kikuu na mwisho wa siku unaona vidonge vinatengenezwa na Matunge ambaye hajaenda darasa lolote la dawa.Wanakaa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habarini wana Jf .Nahitaji kujua software nzuri na rahisi ya kutengeneza matangazo ya audio/sauti kwaajili ya matangazo yakwenye magari.Pragram gani nzuri inayoweza kunisaidia pia kuweka backsound...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Aisee nchi hii ni ngumu sana. Wanawake wengi wana njaa kali. Always mwanamke hutaka kuwa na pesa wakati wote. Mwanamke hapendi kujitesa. Kuna mdada naheshimiana nae sana. Ni best friend tu...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Moto uliozuka leo hii katika kiwanda cha Ocean Kiss kilichopo Tabata Bonde la Sukita jijini Dar es Salaam ikiendelea kuwaka na kuzua taharuki kwa wakazi na wafanyakazi wa eneo hilo. Bado moto huo...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
SHILINGI TRILIN 1.5 ZA KITANZANIA 1. Kama una kasi ya kuhesabu shilingi milioni moja kwa dakika moja. Maana yake Shilingi trilioni 1.5 utazihesabu kwa dakika 1,500,000, sawa na masaa 25,000...
3 Reactions
7 Replies
7K Views
Kiwanda cha saruji cha Dangote Mtwara kitaanza kutumia gesi asilia katika uzalishaji wake mwishoni mwa mwezi ujao (May-2018). Maendeleo yanajenga matumaini kuwa mzalishaji mkubwa wa saruji wa nchi...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Ndugu zangu, niaandika habari hii kwa uchungu nikiomba, kwa yeyeote atakayeisoma, afikishe habari hizi kwa wahusika ili hatua za haraka za uokozi zichukuliwe. Kuna habari kwamba barabara...
11 Reactions
62 Replies
6K Views
Kwa mambo ninayoyaona hivi sasa, naona tumeamua kupishana na maendeleo. Mipango mingi inafanywa kwa standard ya pwagu na pwaguzi. Waliopewa dhamana ya uongozi wanageuka kuwa wahalifu. Wasomi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukituondoa sisi wahenga ambao tunamfahamu Pascal tangu akiwa RTD pale Pugu road, wengi wamemjua kupitia maandiko yake hapa JF. Nimeelezwa na rafiki yangu mmoja aliyepo bungeni kuwa siku ya jana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Siku tukija kulifahamu hili basi tutaongeza idadi ya Watalii wanaokuja kutembelea nchi yetu hata mara 5 ya sasa! Tumelelewa na hii imani potofu kwamba Watalii wanakuja kuangalia Wanyama, ingawaje...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau mimi napata tabu kidogo na aina hii ya usafi inayopelekea huduma kufunguliwa saa nne asubuhi.Ukifika mgeni kigoma siku za alhamisi Kigoma kwa kweli unapata shida kama kuna huduma unahitaji...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Kwa sasa ni kawaida kwa muombaji wa kuvutiwa nguzo za umeme kusubiri hadi miezi minne na zaidi baada ya malipo kabla hajaunganishiwa huduma ya umeme. Watendaji wanasema kwamba ucheleweshaji huu...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Jioni katika matembezi yangu ya kunyoosha miguu kwa maana ya maziezi ; nikafika uwanja wa shule nikaanza kuangalia mpira wa miguu katika uwanja wa huo.. Nilipokaa, Nilimuuliza kijana mmoja juu ya...
3 Reactions
2 Replies
950 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…