Msaada: Kitabu cha mawasilano Serikalini

Msaada: Kitabu cha mawasilano Serikalini

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,277
Reaction score
2,463
Wakuu Habari.
Mwenye nakala laini (soft copy) ya kitabu cha mawasiliano serikalini anisaidie please. Hasa ile ya hivi karibuni au namna yoyote naweza pata contacts za ma RAS na DE Tanzania nzima.
Asante
 
Ingia website ya Serikali utapata, tafuta kitu Government Directory ndio hicho kitabu. Otherwise contact za Ma ras ni
ras.mkoa@tamisemi.go.tz mf.
ras.arusha@tamisemi.go.tz
Kupitia hiyo utawapata wakuu wa mikoa na makatibu tawala wote.
Wakurugenzi pia wanapatika kwa mfumo rahisi vivyo hivyo na ziko live 24/7
 
Back
Top Bottom