Naomba kwa anayejua programu nzuri simple mbali na adobe ninayoweza kuitumia kurekodi matangazo ya sauti

cilla

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
618
500
Habarini wana Jf
.Nahitaji kujua software nzuri na rahisi ya kutengeneza matangazo ya audio/sauti kwaajili ya matangazo yakwenye magari.Pragram gani nzuri inayoweza kunisaidia pia kuweka backsound inayosikika kwa mbali wakati wa tangazo.

Pia program ninayoweza kukata wimbo audio na video na kuedit video kwakuongeza subtitle.Mfano kuna video na ziona youtube zinakuwa na sauti lakini hakuna video inayocheza zaidi ni maandishi ya kilekinachosikika.Nitashukuru nikipata msaada kwenu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom