Sukita, Dar: Moto wazuka kiwanda cha Magodoro cha Ocean Kiss

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Moto uliozuka leo hii katika kiwanda cha Ocean Kiss kilichopo Tabata Bonde la Sukita jijini Dar es Salaam ikiendelea kuwaka na kuzua taharuki kwa wakazi na wafanyakazi wa eneo hilo.

Bado moto huo unawaka mpaka sasa, juhudi za kuuzima zinafanyika ingawa chanzo bado hakijulikani.

Kiwanda cha Magodoro cha Ocean kipo Tabata Matumbi jijini Dar
kiwanda1.jpg
Kiwanda.jpg
 
Poleni sana wahanga.

Muendelee kutupa update yatayojiri pia.

Thanks.
 
Insurance fraud, wanachoma kwa makusudi mali za milioni 10 wanaenda kudai fidia ya milioni 500; nyie hamjiulizi ni kwanini wahindi tu ndio wanaunguliwa kila siku?
 
Back
Top Bottom