Geita: Cement yaadimika na bei yapanda hadi 20,000

Geita: Cement yaadimika na bei yapanda hadi 20,000

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Kwa sasa cement mkoani Geita imekuwa ya kukimbilia,mfuko mmoja wa cement unauzwa elf 20. chanzo halisi cha kuadimika kwa cement Geita hakijulikani,anayefahamu atujuze hapa,pia serikali isaidie kwa hii changamoto
 
ni kutokana na mvua kubwa inasababisha usafirishaji kanda ya ziwa kuwa mgumu. Maeneo mengine ipo ya kutosha.
 
ni kutokana na mvua kubwa inasababisha usafirishaji kanda ya ziwa kuwa mgumu. Maeneo mengine ipo ya kutosha.
Kanda ya ziwa gani mvua inanyesha? Hapa ni kagongwa tayari kiangazi pamoja na maeneo meeeengi kanda ziwa saiv hakuna mvua
IMG_20180512_141820.jpg
 
Back
Top Bottom