Babu Aliyeomba Msaada wa kusaidiwa Kufa

Babu Aliyeomba Msaada wa kusaidiwa Kufa

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,651
Reaction score
3,822
Katika hali isiyotarajiwa na wengi kutokana na wanadamu kuogopa kifo lakini ilikuwa tofauti kwa mzee David Goodal aliyekuwa na umri wa miaka 104 aliposafiri kutoka Australia mpaka Switzeland kwa ajili ya kupatiwa huduma ya Kutolewa Uhai wake kwa hiyari kabisa.

 
Back
Top Bottom