mtoto wa pori
Member
- Jan 2, 2016
- 12
- 5
TAHADHARI
Kuna kampuni wanajiita Street knowledge sk
Wanadai wanaagiza Magari, spares parts na accessories nyingine kutoka Japan
Wanalipwa pesa na watu na vitu hawaleti ukiulizia vitu mzigo wako unapigwa tarehe tu inaweza fika hat miezi 5
Kuna mtanzania anaishi Japan anaitwa Saidi Yasin Kachingwe ndio mtuhumiwa mkubwa wa ameshalipwa pesa nyingi na watu wengi na hadi leo hii hakuna alichotuma, ana kesi nyingi watu wamemfungulia , Hawa ni matapeli ushahidi ninao waliotapeliwa nawajua hivyo natoa tahadhari kwa watu wenye nia ya kufanya biashara na hii kampuni