Utabiri wa hali ya hewa mashuleni.

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,795
Kutakuwa na adhabu nyingi mashuleni hasa za fimbo hapa na pale,kuanzia asubuhi mpaka saa sita mchana. Pia kutakuwa na ongezeko la walimu watakao sinzia hasa nyakati za mchana kutokana na stress za kutoongezwa mishahara. Inakadiliwa utoro utaongezeka kwa walimu huku ukiambatana na manung'uniko wakiwa wanatembea barabarani . Wananchi hasa wanaoishi karibu na barabara wanashauliwa kutokuchukia kama hawata salimiwa na walimu...tutaendelea baadae utabiri kwa kadri utakavyokuwa tunapata taarifa kwa wahusika ‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂
IMG-20180505-WA0007.jpg
 
walimu ndo wamefungua viduka na kuendesha bodaboda. kwa siku hakosi buku 7 kama ya Lumumba fc
 
Back
Top Bottom