TAECOLTD
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 1,051
- 1,845
Kuna rafiki yangu jana kanisimulia inshu nikabaki naduwaa sijajua cha kumshauri
Jamaa ana demu wake wanapendana wenyewe tangu 2006 na mwakani wanaoana, honestly kashemeji ni kazuri balaa kana muonekano flani kama Vanessa Mdee ila ye mdogo mdogo zaidi. Sasa demu wake alipata tempo kwenye kampuni flani hivi nzuri tu usafiri kwenda na kurudi na kula huko huko kwa muda wa miezi 3 jana ndio kamaliza.
Sasa dereva wa lile basi akawa anamsumbua balaa na wafanyakazi wa pale ofisini, yote jamaa anajua fresh tu, asa huyu dereva akaingia kihela hela sababu pia binti baba yake ni meneja wa kitengo kimoja wapo hapo kwenye kampuni ...so dereva akamwambia binti najua baba yako mtu mkubwa so mtoto kama wewe kuwa nawe inatakiwa hela, akajigamba ana hela za kumtunza na asimsumbue baba yake hela tena, binti akachomoa na kila kitu anamweleza mchumba wake maana tayari uchumbani. Jamaa akamshauri kuwa amkubali huyo dereva ili amtie hasara.
Basi mpango ukasukwa dereva akakubaliwa ila action akaambiwa inatakiwa 35,000 ya nywele jamaa akatoa, kesho yake vocha 15,000 jamaa kajiuma uma we akatuma.. Hapo binti amebakisha week moja kazi yake iishe, jamaa katolewa hela sana akataka mzigo demu akamwambia sawa ila unipe kwanza laki 3 za shopping, jamaa akajiuma uma akasema demu gani unataka hela hivyo kama bank, jisepeshe zako huko, demu akamwambia si alikubali kumhudumia kuliko baba yake au alijua ni wa bei rahisi... Dereva hajamtafuta tena hadi leo ila jamaa anasema dereva alichomolewa si chini ya laki moja kwa muda mfupi tu na demu alikua hazitaki hizo hela akampa jamaa.
Jamaa kasema akazinywea bia vizuri kabisa.
Je huu ushauri aliompa mkewe mtarajiwa hauwezi kuja kumtokea puani siku za usoni? Na je ni sahihi kumfanyia umafia huu mtu ambaye huna time nae?
Nawasilisha kwenu