Idea ya video ya kibiashara ya Ramadhan iliyoitoa dunia machozi

Kaka Pekee

JF-Expert Member
Apr 3, 2018
336
559
Tazama video hii ya kibiashara ya mtandao wa Zain kuhusu Ramadhan yenye ujumbe ambao umeitoa dunia machozi (hususani Mashariki ya Kati) kuna scenes walizoigizwa Trump, Putin, Angela Markel, na Kim Jong Un.

Hizi plastic mask/effects zilizotumika kuwawakilisha Marais mbalimbali duniani hivi hatuwezi kupata za Marais wetu wa Africa kama baba wa taifa, Kagame, Magufuli, Mandela, Mugabe tukafanya kitu?
 
I am a Christian.. But, but, :eek: this is one of my best, best, best, best of the best ever clip in 2018. I hope Trump, Putin, Merkel, Kim, all will see this strong ever message. :eek::eek: What a song & message? :eek::eek:
 
Wimbo mzuri ila wamechanganya SIASA baada ya kusema JERUSALEMU ni capital city ya PALESTINE.

Hii inaondoa maana ya ujumbe wao.
 
I am a Christian.. But, but, :eek: this is one of my best, best, best, best of the best ever clip in 2018. I hope Trump, Putin, Merkel, Kim, all will see this strong ever message. :eek::eek: What a song & message? :eek::eek:
It's such a powerful Peace Song indeed.:)
 
Tazama video hii ya kibiashara ya mtandao wa Zain kuhusu Ramadhan yenye ujumbe ambao umeitoa dunia machozi (hususani Mashariki ya Kati) kuna scenes walizoigizwa Trump, Putin, Angela Markel, na Kim Jong Un.

Hizi plastic mask/effects zilizotumika kuwawakilisha Marais mbalimbali duniani hivi hatuwezi kupata za Marais wetu wa Africa kama baba wa taifa, Kagame, Magufuli, Mandela, Mugabe tukafanya kitu?
Tafuta xyz show ya bwana gado,anatumia vikaragosi vya viongozi wote wa afrika
 
Tazama video hii ya kibiashara ya mtandao wa Zain kuhusu Ramadhan yenye ujumbe ambao umeitoa dunia machozi (hususani Mashariki ya Kati) kuna scenes walizoigizwa Trump, Putin, Angela Markel, na Kim Jong Un.

Hizi plastic mask/effects zilizotumika kuwawakilisha Marais mbalimbali duniani hivi hatuwezi kupata za Marais wetu wa Africa kama baba wa taifa, Kagame, Magufuli, Mandela, Mugabe tukafanya kitu?

Zain buana!!
 
Wamekosea kitu kimoja kikubwa sana; kutomweka mbabe wao, waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu
 
Ila Palestine ina Miji mikuu miwili mkuu, Jerusalem na Tel Aviv...ila hapa ameutaja mmoja;)
Nadhani hujaelewa kitu, anataka dunia itambue kuwa Jerusalem, ni jiji la Palestine, Israel haipaswi kuwepo pale.

Sasa cha kushangaza, neno Jerusalem na mji wenyewe ulijengwa na waisrael. Utawaondoaje hapo?
 
I am a Christian.. But, but, :eek: this is one of my best, best, best, best of the best ever clip in 2018. I hope Trump, Putin, Merkel, Kim, all will see this strong ever message. :eek::eek: What a song & message? :eek::eek:

Lakini kwanini hawakuweka na picha za akina Asad na wenzie wa Saudia, Qatar et al?
si sahihi kubebesha lawama west kwa 100%
 
Well,kwa upande mwingine huo wimbo si mtamu kiviile kwa watu wengine,ni declaration of war.
Kuna watu hupenda kuchukua sehemu tu ya historia ya Jerusalem na kufanya conclusion,wataiona hii nyimbo tamu,ila tukiwa fair na kuchukua historia nzima ya Jerusalem,hii nyimbo ni complication tu ya ugomvi mgumu tunaohangaika kuuamua kila siku.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom