Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Deep state baadhi wanajua namaanisha mini Hii ndio core unit ambayo ndio hupanga huamua na kutekeleza lolote lililo nyeti Haionekani lakini IPO na inafanya kazi Hata wakitoka baada ya tano au...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa ufupi mimi simo katika lile kundi linaloitwa wanyonge lakini sipati picha kwa mwendo huu hili kundi ambalo ni mtaji muhimu wa kile chama lina hali gani
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Nimejurishwa kwamba,mkuu wa wilaya ya Dodoma Mjini,amewaambia wakazi wa kitongoji cha Ihumwa kwamba ardhi yao itachukuliwa na serikali kwa nguvu na wananchi watalipwa millioni 2.5,bila kujari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ma bus ya uingereza yote ya (public transport)yameadikwa ujumbe wa kutakia waisalamu nchini humo mfungo mwema. Waislamu nchini uingereza ni 3% tu lakini wanaheshimiwa na kutambuliwa, hiyo ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Askari wanne wa pori la akiba la Mkungunero Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma wanashikiriwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wakituhumiwa kuomba na kupokea rushwa ya Sh5...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Taarifa Maalum. •Kuna taarifa ya kukamatwa kijana anayeendesha Page ya Udaku Instagram kutokana na kubainika na kitengo cha Cyber Crime anatumika kufanya vitendo vya uhalifu wa kimtandao...
5 Reactions
64 Replies
10K Views
Kuna utapeli mkubwa sana unaoendelea katika mitandao yetu ya simu. Kabla ya kuweka data zote kuhusu huu wizi wa kimtandao na kuwashtaki Tigo TCRS naomba kwanza nipate mchango wa mwanachama yeyote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa kawaida dereva ni mtu wa kutumwa tu na kuongozwa kama bendera inayofuata upepo uendeko! Ni mtu asiye na sekta rasmi.Muda na saa yoyote anatumwa kule au anatumwa pale! Madereva wa viongozi...
5 Reactions
22 Replies
11K Views
Naomba kufahamishwa halmashauri ya wilaya lushoto ni Kata ipi ina jiografia nzuri na ina miundombinu safi ya kufika wilayan na jiografia ninayosema ni uwepo wa ardhi ya kilimo na huduma za msingi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF, Hii soda ni tamu sana na ina burudisha. Nashangaa kwa Tanzania inapatikana mikoa ya Kaskazini kama vile Moshi na Arusha. Embu wataalamu mtujuze.
3 Reactions
78 Replies
15K Views
Kuna swala huwa sielewi. Kwanza jambazi kumiliki silaha kama bastola au SMG na asijulikane hii huwa imekaaje kwanza? Mtu ana moto na mko nae pamoja mtaani lakini hammjui kabisa au wachache sana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo kimetokea kisa kimoja katika kituo cha mwendokasi Muhimbili.Nikawa interested nikasimama na kusikiliza.Abiria mmoja wa 70s alikuwa ana kadi yaani pre paid ya udart,bahati mbaya gari...
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Nimeikuta mahali hii kuwa "Kama umejiunga na kifurushi cha chuo na wewe sio mwanachuo basi funga yako ni bure" Naomba mwenye uelewa wa hili anisaidie ufafanuzi maana usikute nafanya kazi bure ya...
0 Reactions
1 Replies
591 Views
Tanzania - 1.327 Million million Kenya - 1.474 Million million Zimbabwe - 2.1 Million million Algeria - 2.4 Million million Tunisia - 7 Million million South Africa - 10.29 million Morocco -...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
NBAA itashindwa kuandaa mitihani kwaajili ya wanafunzi wanaosomea uhasibu ifikapo Julai 2018 kama wajumbe wa bodi yake ya uongozi hawatakuwa wameteuliwa na waziri mwenye dhamana. Kwa namna isiyo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ajali mbaya imetokea leo maeneo ya chalinze na kuua mkurugenzi msaidizi wa elimu kwa umma wa wizara ya afya kwa jina Helen Semu. =================== Habari Zaidi =================== Mkurugenzi...
5 Reactions
185 Replies
35K Views
Inachekesha lakini kwa mbali baadhi ya watu wanaishi maisha haya.... Mbwa aliambiwa: Utalinda nyumba za watu, utakuwa rafiki bora wa mwanadamu, utakula makombo atakayokuachia, na utapewa umri wa...
24 Reactions
46 Replies
5K Views
Tafadhili mwenye hio number au mawasiliano au njia yeyote ya kuweza kufika kwa TB joshua (SCOAN) ANISA
0 Reactions
1 Replies
752 Views
Wazazi tunaumia kuona mtu ambaye hafai katika uongozi bado anabebwa bebwa tu huyu mkuu wa shule alikuwa shule ya Nzega day, akaharibu ile shule kwakuwa na mahusiano mabaya na walimu kitu...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimekuwa nikiufatilia ujinga wa Azam TV kwa muda mrefu lkn leo imenibidi nije niongee pumba zao zinazotufanya Watazamaji tukose hamu yakuangalia Movies zao. Wamefanya jambo zuri kuingiza sauti za...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Back
Top Bottom