Deep state baadhi wanajua namaanisha mini
Hii ndio core unit ambayo ndio hupanga huamua na kutekeleza lolote lililo nyeti
Haionekani lakini IPO na inafanya kazi
Hata wakitoka baada ya tano au...
Kwa ufupi mimi simo katika lile kundi linaloitwa wanyonge lakini sipati picha kwa mwendo huu hili kundi ambalo ni mtaji muhimu wa kile chama lina hali gani
Nimejurishwa kwamba,mkuu wa wilaya ya Dodoma Mjini,amewaambia wakazi wa kitongoji cha Ihumwa kwamba ardhi yao itachukuliwa na serikali kwa nguvu na wananchi watalipwa millioni 2.5,bila kujari...
Ma bus ya uingereza yote ya (public transport)yameadikwa ujumbe wa kutakia waisalamu nchini humo mfungo mwema. Waislamu nchini uingereza ni 3% tu lakini wanaheshimiwa na kutambuliwa, hiyo ni...
Askari wanne wa pori la akiba la Mkungunero Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma wanashikiriwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wakituhumiwa kuomba na kupokea rushwa ya Sh5...
Taarifa Maalum.
•Kuna taarifa ya kukamatwa kijana anayeendesha Page ya Udaku Instagram kutokana na kubainika na kitengo cha Cyber Crime anatumika kufanya vitendo vya uhalifu wa kimtandao...
Kuna utapeli mkubwa sana unaoendelea katika mitandao yetu ya simu.
Kabla ya kuweka data zote kuhusu huu wizi wa kimtandao na kuwashtaki Tigo TCRS naomba kwanza nipate mchango wa mwanachama yeyote...
Kwa kawaida dereva ni mtu wa kutumwa tu na kuongozwa kama bendera inayofuata upepo uendeko! Ni mtu asiye na sekta rasmi.Muda na saa yoyote anatumwa kule au anatumwa pale!
Madereva wa viongozi...
Naomba kufahamishwa halmashauri ya wilaya lushoto ni Kata ipi ina jiografia nzuri na ina miundombinu safi ya kufika wilayan na jiografia ninayosema ni uwepo wa ardhi ya kilimo na huduma za msingi...
Habari wana JF,
Hii soda ni tamu sana na ina burudisha.
Nashangaa kwa Tanzania inapatikana mikoa ya Kaskazini kama vile Moshi na Arusha.
Embu wataalamu mtujuze.
Kuna swala huwa sielewi.
Kwanza jambazi kumiliki silaha kama bastola au SMG na asijulikane hii huwa imekaaje kwanza? Mtu ana moto na mko nae pamoja mtaani lakini hammjui kabisa au wachache sana...
Leo kimetokea kisa kimoja katika kituo cha mwendokasi Muhimbili.Nikawa interested nikasimama na kusikiliza.Abiria mmoja wa 70s alikuwa ana kadi yaani pre paid ya udart,bahati mbaya gari...
Nimeikuta mahali hii kuwa
"Kama umejiunga na kifurushi cha chuo na wewe sio mwanachuo basi funga yako ni bure"
Naomba mwenye uelewa wa hili anisaidie ufafanuzi maana usikute nafanya kazi bure ya...
Tanzania - 1.327 Million
million Kenya - 1.474 Million
million Zimbabwe - 2.1 Million
million Algeria - 2.4 Million
million Tunisia - 7 Million
million South Africa - 10.29 million
Morocco -...
NBAA itashindwa kuandaa mitihani kwaajili ya wanafunzi wanaosomea uhasibu ifikapo Julai 2018 kama wajumbe wa bodi yake ya uongozi hawatakuwa wameteuliwa na waziri mwenye dhamana.
Kwa namna isiyo...
Ajali mbaya imetokea leo maeneo ya chalinze na kuua mkurugenzi msaidizi wa elimu kwa umma wa wizara ya afya kwa jina Helen Semu.
===================
Habari Zaidi
===================
Mkurugenzi...
Inachekesha lakini kwa mbali baadhi ya watu wanaishi maisha haya....
Mbwa aliambiwa: Utalinda nyumba za watu, utakuwa rafiki bora wa mwanadamu, utakula makombo atakayokuachia, na utapewa umri wa...
Wazazi tunaumia kuona mtu ambaye hafai katika uongozi bado anabebwa bebwa tu huyu mkuu wa shule alikuwa shule ya Nzega day, akaharibu ile shule kwakuwa na mahusiano mabaya na walimu kitu...
Nimekuwa nikiufatilia ujinga wa Azam TV kwa muda mrefu lkn leo imenibidi nije niongee pumba zao zinazotufanya Watazamaji tukose hamu yakuangalia Movies zao. Wamefanya jambo zuri kuingiza sauti za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.