Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,654
- 5,044
Salamu Wana jukwaa!. Tangu nijiunge Na JF Leo ni mara yangu ya kwanza ku-post humu jukwaani hivyo basi vumilieni mwandiko wangu sababu sijakaa ki uandishi!.
Moja kwa moja twende kwenye mada. Kumekuwa na upotoshwaji mkubwa kuhusu dunia yetu na ulimwengu kwa ujumla. Baadhi ya makundi machache ya watu na madhehebu ya kidini yamekuwa yakiwaelekeza wafuasi wao vitu vingi ambavyo si sahihi kuhusu
1. Mungu
2. Siri ya kifo
3. Ufahamu wa uumbaji
4. Viumbe mbadala wa dunia hii
5. Maisha nje ya dunia
Haya ni baadhi ya mambo ambayo makundi mengi yamekuwa yakipotosha!
Kuna visa vingi ambavyo vimehusishwa na watu wakiuliza chanzo cha huu upotoshwaji.
Nadhani JF ni sehemu huru ambayo watu wenye maoni mbalimbali na ujuzi wa mambo watakuja kutoaa nyongo kuhusu huu ulimwengu na mambo ambayo waliweza kuyashuhudia!
Karibuni kwa mjadala!
NB: Information za uhakika ambazo mtu binafsi unafahamu au unaelewa kuhusu ulimwengu au idea zako ndizo ambazo tunazihitaji humu!!.(conspiracy theory hatutazihitaji)
Karibuni wanajamvi