Wanahisa wenzangu hivi bado tunamwitaji mtendaji mkuu kuongoza CRDB

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Mimi binafsi ninawashangaa sana Wanahisa wenzangu mliokuwa kwenye kikao cha Wanahisa kumruhusu Dr. Kimei kuendelea kuiongoza CRDB. Siku hiyo hiyo ya kikao angefukuzwa na asingeweza kurudi ofisini. Madudu anayoyafanya pale hayavumiliki. Namshauri ni vyema akajiuzulu leo ili tupate damu mpya.
 
kweli kabisa jamaa anazingua aiseeee
 
We hisa zako zitakuwa za mia tano, jamaa angekuwa mbovu nafikiri crdb isingekuwa kinara bongo, imepitia changamoto nyingi kipindi hiki lakini bado imetengeneza bilioni thelethini na nane na kodi imeshalipwa hapo, big up kimei
 
Mimi binafsi ninawashangaa sana Wanahisa wenzangu mliokuwa kwenye kikao cha Wanahisa kumruhusu Dr. Kimei kuendelea kuiongoza CRDB. Siku hiyo hiyo ya kikao angefukuzwa na asingeweza kurudi ofisini. Madudu anayoyafanya pale hayavumiliki. Namshauri ni vyema akajiuzulu leo ili tupate damu mpya.
Amewalegeza kwa machozi ya mamba.
 
Ulikuwa wapi kwenye kikao ukashindwa kupeleka hoja yako ya kumuondoa madarakani.

Jifunze kutumia vizur turufu yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom