Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,890
Habari za jumatatu tulivu isiyo na mvua
Katika kazi zangu za kupita pita huku mtaani nilikutana na hiki kitu ila nikashindwa kukuelewa jinsi ya kutumia achilia mbali kuuliza tu nisije nikaaibika eti nipo mjini lakini naishi kizee.
Naomba kujua kwa wale ambao wameshatumia hii MASTERPASS QUICK RESPONCE jinsi inavyofanya kazi? unavyoitumia katika malipo? na kuna bidhaa zina hizo QR na jinsi ya kuzitumia hadi vyeti vya NACTE navyo wameweka HIYO NEMBO YA QR.
NB. kama hujui kaa pembeni upate elimu dunia