Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taarifa ya mali za CCM inaonesha ubadhilifu mkubwa wa mali za chama hiki kikongwe hapa nchini. Wananchi wameipa CCM ridhaa ya kuongoza nchi hii tangu uhuru (tangu uhuru kwani CCM ni zao la TANU na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Sijui ni mimi au ndivyo ilivyokuwa sina uhakika lakini Miaka ya 80 mpaka 90 sikuwahi kusikia uwepo wa manabii zaidi ya wale Tuliowasoma kwenye Vitabu vitukufu. Naomba kufahamishwa...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa miaka mingi hii club iliyopo maeneo ya forest morogoro ilikua ikifanya kazi vizuri na kulipa kodi Lahaulaaah baada ya kuingia utawala wa awamu ya 5 Jamaa kupitia manispaa kapandisha kodi hadi...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Hadi 2015 Afrika Mashariki ilikuwa na ardhi yenye rutuba eka 124,718,000M, kati hizo Kenya imetumia 45.6%, Tanzania 38.6%, Burundi 0.9%, Uganda 13.0% na Rwanda 1.8%. Hii inaonesha bado tuna ardhi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Shirika la Ndege la Precission Air limeingia ubia wa malipo na Kampuni Maxcom Africa utakaowawezesha wateja wake kulipia tiketi zao kwa mawakala wa kampuni hio waliopo maeneo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Maandalizi ya maadhimisho ya week ya Mazingira yameshaanza hapa nchini kwetu Tanzania. Waziri mwenye dhamana Mheshimiwa January Makamba ameshaanza kusikika kwenye vyombo vya habari akielezea...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kamanda wa polisi mkoani Tabora Kamishina Msaidizi Mwandamizi Wilbrod Mutafungwa amesema kuwa,katika kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimampenzi,Jeshi hilo linamtafuta mtu mmoja aliyemtaja kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mahakama ya wilaya ya mbozi imetupilia mbali kesi iliyokuwa ikinikabili kuhusiana na tuhuma za kufanya uchochezi. MUNGU mkubwa asante wakili Boniface mwabukusi
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Dodoma. Pango la jengo la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linalotumiwa na Hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam limeibua mvutano miongoni mwa wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nakumbuka kauli hii ilitolewa na Rais wa awamu ya nne wa Tanzania, DK JAKAYA MRISHO KIKWETE wakati akiongoza harambee ya kuchangia shule ya sekondari Lindi, Mkoani Lindi, ambayo iliteketea kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Nasikiliza kipindi cha " Power Breakfast " cha " Clouds FM ". Nimesituka kumsikia mtangazaji Babra Hassan akisema kiswahili ni lugha yetu mama. Kwangu mie lugha mama zetu ni...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu, katika upekuzi wangu nimekutana na shule kuhusiana na hili, nikaona sio vibaya kuwashirikisha na nyie ndungu zangu. Kuna hili eneo linaloitwa Nasolabial Triangle, ambalo lipo katika uso wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari Wakuu, Hakuna kitu kinachozungusha au chenye kero kama Polisi Report. Yaani watakuzungusha hadi unyooke, labda utoe rushwa. Polisi wana tabia mbaya sana, unaenda ukiwa na tatizo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Moja ya ndege ambazo Rais Magufuli amekuwa akizipigania katika kufufua shirika la ndege Tanzania ikiwa katika hatua zake za mwisho mwisho kukamilika na ni matumaini kuwa itaingia nchini kabla ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana forum naombeni kujua blogu zinye views wengi tz. yani bila kuitembelea kwa siku unajihisi njaaa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Morogoro (TAKUKURU), imewapandisha kizimbani watuhumiwa wawili wa Serikali kwa makosa ya kujihusisha na vitendo vya rushwa na uhujumu uchumi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mimi sasa nimeanza kupata wasiwasi wa tafsiri ya TB Joshua kuja Tanzania mpeku utadhani anaenda msibani. Tena alipokelewa kwa mbwembwe na JPM ila hakushiriki katika kuapiswa kwake. Wale...
2 Reactions
43 Replies
9K Views
katika mweiz huu mtukufu wa ramadhani kwa waumini wa kiislamu hua wanafunga, kwa yule mwenye uwezo na afya njema, nakwa wale ambao hawana uwezo na afya njema hawafungi ila kuna baadhi ya mambo...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Kulikuwa na HUIMA (CASFETA),UKWATA na TYCS wakati tukisoma. Sisi wengine tulio katikati, wakati mwingine tulienda UKWATA sbb ya kuimba Mapambio na nyimbo za kusifu. Kukesha ktk sala na usiku wa...
31 Reactions
100 Replies
16K Views
Tukipata fursa ya kuongea na viongozi tuulize maswali yenye tija. Leo hii, yupo "mwenye kiwanda" fulani cha mboga-mboga anaomba ndege za mizigo zitue Songwe maana kusafirisha mboga mboga (mnafu na...
0 Reactions
95 Replies
10K Views
Back
Top Bottom